Chadema na kisa cha Sultan Maginga

Pamputi

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
982
723
Sultnan Maginga V Republic (1969) moja kati ya kesi maarufu sana ya jinai (Criminal cases) inayomuhusiha bwana Sultan Maginga dhidi ya jamhuri ambapo bwana Maginga Alishtakiwa kwa kesi ya kumuua MTU kwa mkuki usiku wakati akilinda shamba lake usiku akihisi ni nguruwe kumbe in watu walikua wakifanya mapenzi shambani kwake

Mahakama ilisikiiza maelezo ya pande zote mbili na kuibua defence ya Mistake of Fact kwa bwana Maginga wakiamini Maginga aliua pasipo kukusudia kwani intention yake (Mens rea) haikua imelenga kuua MTU Bali alihisi anaua nguruwe

Basi kisa hiki huwa nakifananisha na mienendo ya Vyama vya upinzani vya nchi hii specifically CHADEMA namna ambavyo vmekua n vyama vyenye kujikita zaidi katika fikra za kubahatisha bahatisha zaidi rather than materialistic strategies vyama vinaongozwa na matukio na misukumo binafsi bila kuhusisha fikra na uzani sahihi wa kimaamuzi katika kujijenga ,wanachokiwazaga hakina uhusiano kabisa na uhalisia yaani kama Maginga Wakati anahisi anaua Nguruwe kumbe Mistaken of Fact anaua MTu

Wanawaza kutawala nchi ingawa kujitawala wao wenyew imekua vigumu, chama kikuu cha upinzani hakina Ofisi, Hakina mtandao wowote wenye sura ya kitaifa,hakina hata utaratibu sahihi wa namna ya upatikanaji wa wagombea wake hakitoi mfano KBS wa misingi ya utawala bora wala misingi ya demokrasia afu bado kina fikra za kitawala nchi ,hizi zote ni Mistake Of Fact wanafeli sana Hawa wapinzani wakiwa na hisia tofauti kabisa na Uhalisia

Unatawala vipi nchi kama wewe tu huwezi kujitawala..Ofisi ya chama ni kituko,mapato na matumizi ya chama ni siri kuu kuliko hata siri zilizopo Area B51 Nevada, vision ya chama haileweki katiba ya chama INA ukakasi mwingi AF bdo ubaki kuwa na fikra za kuongoza nchi...mnafeli CHADEMA hamueleweki mnataka nini ndo maana mnakosa credibility kwa watu wenye Ku reason

Nionavyo: Upinzani wa nchi hii kuchukua nchi bado safari no ndefu mpaka pale watapokuja kujielewa

#HAPA_KAZI_TU
 
What about the ruling party. Kila asst waliyo nayo ni asset ya serikali. Serikali ya china inawezaje kyijengea chama cha siasa ofisi? Asset nyingine zote zilikuwa mali ya serikali wakati wa chama kimoja ama zilitokana na hizo. So shut up!
 
Mwanzoni nilidhani unaongelea vitu kama Tume Huru ya Uchaguzi au Elimu kwa mpiga Kura.
Kumbe unaongelea Ofisi ambayo kwa karne hii ya Teknolojia ofisi ipo popote hata juu ya mti.
 
Ukumbi wa Dodoma Convention Centre( DCC) nao ni asset ya Serikali??

Chadema mwambieni Mbowe awape hela za mauzo ya chama mjenge hata ofisi
 
Mwanzoni nilidhani unaongelea vitu kama Tume Huru ya Uchaguzi au Elimu kwa mpiga Kura.
Kumbe unaongelea Ofisi ambayo kwa karne hii ya Teknolojia ofisi ipo popote hata juu ya mti.
Tume huru ya Uchaguzi na Elimu ya Mpiga Kura ili iwe nini? Wapinzani waende wakaharibu Ikulu? Nonsense!
 
Kama kutawala nchi ni hivi kama tunavyotawaliwa sasa sioni chadema kwanini washindwe kutawala yaani hata sasa mfumo rasmi wa utawala haufanyi kazi bali hutegemea utashi wa mtu mmoja kama ilivyo kwa chadema unayoishutumu
 
We bure kabisa, uchaguzi ukishapita nchi iko mikononi mwa CCM, badala ya kuhangaika namna ya kutatua kero za wananchi, wewe na ofisi za CHADEMA, hivi 2020 utaenda na hoja hiyo mbele ya wananchi eti msichague CHADEMA kwakuwa hawana ofisi?
Kama nchi kuna mambo mengi ya kufanya, ndiyo maana binafsi nawachukia nyie CCM, mnazidi kujaza ujinga humu ndani wakati kuna mambo mengi ya kufanya.
 
Umejitahidi kujieleza ili kuwa convince waliokutuma lakini Siyo watu wenye akili zao. Jitahidi kutafuta cha kutumia convince wengine
 
Sultnan Maginga V Republic (1969) moja kati ya kesi maarufu sana ya jinai (Criminal cases) inayomuhusiha bwana Sultan Maginga dhidi ya jamhuri ambapo bwana Maginga Alishtakiwa kwa kesi ya kumuua MTU kwa mkuki usiku wakati akilinda shamba lake usiku akihisi ni nguruwe kumbe in watu walikua wakifanya mapenzi shambani kwake

Mahakama ilisikiiza maelezo ya pande zote mbili na kuibua defence ya Mistake of Fact kwa bwana Maginga wakiamini Maginga aliua pasipo kukusudia kwani intention yake (Mens rea) haikua imelenga kuua MTU Bali alihisi anaua nguruwe

Basi kisa hiki huwa nakifananisha na mienendo ya Vyama vya upinzani vya nchi hii specifically CHADEMA namna ambavyo vmekua n vyama vyenye kujikita zaidi katika fikra za kubahatisha bahatisha zaidi rather than materialistic strategies vyama vinaongozwa na matukio na misukumo binafsi bila kuhusisha fikra na uzani sahihi wa kimaamuzi katika kujijenga ,wanachokiwazaga hakina uhusiano kabisa na uhalisia yaani kama Maginga Wakati anahisi anaua Nguruwe kumbe Mistaken of Fact anaua MTu

Wanawaza kutawala nchi ingawa kujitawala wao wenyew imekua vigumu, chama kikuu cha upinzani hakina Ofisi, Hakina mtandao wowote wenye sura ya kitaifa,hakina hata utaratibu sahihi wa namna ya upatikanaji wa wagombea wake hakitoi mfano KBS wa misingi ya utawala bora wala misingi ya demokrasia afu bado kina fikra za kitawala nchi ,hizi zote ni Mistake Of Fact wanafeli sana Hawa wapinzani wakiwa na hisia tofauti kabisa na Uhalisia

Unatawala vipi nchi kama wewe tu huwezi kujitawala..Ofisi ya chama ni kituko,mapato na matumizi ya chama ni siri kuu kuliko hata siri zilizopo Area B51 Nevada, vision ya chama haileweki katiba ya chama INA ukakasi mwingi AF bdo ubaki kuwa na fikra za kuongoza nchi...mnafeli CHADEMA hamueleweki mnataka nini ndo maana mnakosa credibility kwa watu wenye Ku reason

Nionavyo: Upinzani wa nchi hii kuchukua nchi bado safari no ndefu mpaka pale watapokuja kujielewa

#HAPA_KAZI_TU
Amen RA
 
What about the ruling party. Kila asst waliyo nayo ni asset ya serikali. Serikali ya china inawezaje kyijengea chama cha siasa ofisi? Asset nyingine zote zilikuwa mali ya serikali wakati wa chama kimoja ama zilitokana na hizo. So shut up!
Rudi darasani kaisome Sayansi ya siasa afu rudi uchangie
 
Mwanzoni nilidhani unaongelea vitu kama Tume Huru ya Uchaguzi au Elimu kwa mpiga Kura.
Kumbe unaongelea Ofisi ambayo kwa karne hii ya Teknolojia ofisi ipo popote hata juu ya mti.
Kama we ndo uwakilishi wa chadema katika huu mjadala basi bado tuna safari ndefu
 
We bure kabisa, uchaguzi ukishapita nchi iko mikononi mwa CCM, badala ya kuhangaika namna ya kutatua kero za wananchi, wewe na ofisi za CHADEMA, hivi 2020 utaenda na hoja hiyo mbele ya wananchi eti msichague CHADEMA kwakuwa hawana ofisi?
Kama nchi kuna mambo mengi ya kufanya, ndiyo maana binafsi nawachukia nyie CCM, mnazidi kujaza ujinga humu ndani wakati kuna mambo mengi ya kufanya.
Kwann hzi hoja zenu huja baada ya kuambiwa ukweli??

Kwa hyo uchaguzi ukiisha ndo hatuna mandate ya kuwahoji??
 
Back
Top Bottom