Chadema na itv - uzeni vcd na dvd za mdahalo wa jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na itv - uzeni vcd na dvd za mdahalo wa jana

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TIMING, Oct 24, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Naombeni ITV mfanye muwezalo kuuza ule mdahalo wa jana... ni tukio la kihistoria si kwasababu slaa alifunika tu, hapana bali pia kwa wapinzani kupata airtime kama ile haijawahi kutokea

  we needs these milestones in our history
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nadhani hiyo ni hatua ya mbali kidogo, ila itolewe CD au DVD na irushwe mara nyingi zaidi kwa tv zingine au marudio ITV
   
 3. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 869
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mpak sasa naitafuta CD ya huo mdahalo, jamani zikitoka tujulishane
   
Loading...