Chadema na Dr Slaa Peke Yao Hawezi Kubadilisha Tanzania...Vijana Tuchukue Big Role... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na Dr Slaa Peke Yao Hawezi Kubadilisha Tanzania...Vijana Tuchukue Big Role...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 28, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nasikitika kwamba wananchi wa Tanzania hasa vijana tunategemea sana Chadema kuleta changamoto ya mabadiliko na mapinduzi Tanzania. Ukweli ni kwamba Viongozi wa Chadema, Dr Slaa na Mbowe wote wanaonekana wana miaka ya makamo na tunahitaji Vijana hasa waliosoma kutafuta njia na moyo wa kujenga Taifa letu. Tukitembelea vyuoni Dar, Dodoma, Mwanza, Moro, Arusha, Iringa, Mbeya na Miji mingine tunaona tunahitaji Kureorganize Big Time kujenga Push ya Viongozi na Kusimama Strongly Against Unfit Government. Future ya Taifa hili halitajengwa na wazee wa makamu ni Vijana Pekee Wanatakiwa Waelimishwe Sehemu Yao ya Taifa. Leo hii hata Vijana wa sisiem wanaonekana kukelwa na viongozi wao na kinacho kosekana ni Viongozi Vijana Mashuhuri Tanzania...Tunaomba sana Vijana Vyuoni Tujiinue kuongoza Mabadiliko ya sasa. Nchi nyingi sasa Vijana Wanaongoza Changes Wakipata Support ya Vyama vya Upinzani kama Chadema. Mifano ya Vijana mashuhuri tunayo? Tunawaomba JM tuwataje Vijana Viongozi Mashuhuri Mikoa Yote ili Taifa Liwajue na Kuwatuza....
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Yes ni wazo zuri na naung mkono.
   
Loading...