CHADEMA na double standards

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Fatuma Karume alifungua kesi iliyosimamiwa na mawakili 28 akiielekeza mahakama kosa la kushikwa mkono na askari wa kiume fidia yake ni shilingi bilion moja, diwani wa chadema huko iringa kapigwa na Redbrigade,kashikwa sehemu zake official zaidi ya mkono, kalazwa hospital,kapewa rufaa kwenda muhimbili kwa matibabu zaidi, hajawekewa wakili, kaambulia kufukuzwa uanachama
#Ben_saa8 alikuwa mfanyakazi binafsi wa mbowe katoweka,mbowe kajibu watu wasizungumze sana kuhusu Ben maana watekaji wanaweza kumuua
[HASHTAG]#wewe[/HASHTAG] ambae hata kadi ya uanachama hulipii unakomaa kuwa ni chama cha demokrasia...
[HASHTAG]#JIONGEZE[/HASHTAG]
Daniel-Serengeti
 
Wamekusikia. Kachukue buku 7 yako kwa mzee pole pole.
Usisahau kumsalimia mzee wa hasara, mwambie. maamuzi yake ya kijinga na hasira zake za kishenzy shenzy, next time atatumia mshahara wake kulipa hayo madeni.
Mambo yakufanya ujinga huko, halafu ss huku wananchi tunagharamika kumlipia mpum..,,bafu mmoja. Mwambie sasa haitawezekana.
Usitulazimishe kuwa wanachama wa makinikia (CCM).
 
weka ushahidi basi wa huko iringa kuwa chadema wamemshika sehemu nyeti huyo diwani...
 
Fatuma Karume alifungua kesi iliyosimamiwa na mawakili 28 akiielekeza mahakama kosa la kushikwa mkono na askari wa kiume fidia yake ni shilingi bilion moja, diwani wa chadema huko iringa kapigwa na Redbrigade,kashikwa sehemu zake official zaidi ya mkono, kalazwa hospital,kapewa rufaa kwenda muhimbili kwa matibabu zaidi, hajawekewa wakili, kaambulia kufukuzwa uanachama
#Ben_saa8 alikuwa mfanyakazi binafsi wa mbowe katoweka,mbowe kajibu watu wasizungumze sana kuhusu Ben maana watekaji wanaweza kumuua
[HASHTAG]#wewe[/HASHTAG] ambae hata kadi ya uanachama hulipii unakomaa kuwa ni chama cha demokrasia...
[HASHTAG]#JIONGEZE[/HASHTAG]
Daniel-Serengeti
Sawa mkuu! Ushauri wako ni upi na tangia sisiemu iongoze serengeti mbona hakuna bara bara ya lami inayoiunganisha hiyo wilaya na wilaya zingine ndani ya mkoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fatuma Karume alifungua kesi iliyosimamiwa na mawakili 28 akiielekeza mahakama kosa la kushikwa mkono na askari wa kiume fidia yake ni shilingi bilion moja, diwani wa chadema huko iringa kapigwa na Redbrigade,kashikwa sehemu zake official zaidi ya mkono, kalazwa hospital,kapewa rufaa kwenda muhimbili kwa matibabu zaidi, hajawekewa wakili, kaambulia kufukuzwa uanachama
#Ben_saa8 alikuwa mfanyakazi binafsi wa mbowe katoweka,mbowe kajibu watu wasizungumze sana kuhusu Ben maana watekaji wanaweza kumuua
[HASHTAG]#wewe[/HASHTAG] ambae hata kadi ya uanachama hulipii unakomaa kuwa ni chama cha demokrasia...
[HASHTAG]#JIONGEZE[/HASHTAG]
Daniel-Serengeti
una uhakika mbowe alisema hivyo, mbona mbowe aliomba serikali ilete scotland yard ifatilie lakini kijani wakagoma,
 
Back
Top Bottom