CHADEMA na CCM wote wanachosha na hawaaminiki

KILLERS KISS GUY

JF-Expert Member
May 9, 2013
721
254
hatupambani na chadema isipokuwa tunaiongelea chadema kwa sababu ndicho chama mbadala hivyo basi lazima kiwe tofauti na vyama vingime katika kutekeleza mambo yake
 
KILLERS KISS GUY

JF-Expert Member
May 9, 2013
721
254
hiyo siyo hoja, jenga hoja jibu kwa hoja, mfano moja ya sababu ya ongezeko la deni la taifa ni kutokana na wabunge kujilipa mishara mikubwa kwani serikali inapokopa hela nyingi hutumika katika kulipa mishara kuliko kuwekeza kwenye miradi ya maendeleo. hivyo basi tunaikumbusha chadema kuwa ikiingia madarakani 2015 ijaribu kuyaangalia haya na pia wasikubali kuchukua posho...kama ilani inavyosema ya mwaka 2005
 
Kamuche

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
368
120
I don' t know why
I keep believing
That one day, they' ll bring us together
When they' ve shown
In more ways than one
That all they care about is the dollar
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses
If we don' t take control
Of the situation
We' ll stay forever in this ya commotion

Chorus: (x3)
These guns and the roses
That we' ve got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of
Togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins
Now we are judged
By the colour of our flags
Let us unite
Against being divided
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Let us take control of the situation
Otherwise we' ll be trapped in this

Chorus: till fade

Lucky Dube

dah! Full Respect Lucky Dube! Thanks mkuu kwa kutukumbusha
 
Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
ni kweli kwa mfano wabunge wote wamekubaliana kupitisha mamilioni ya hela kwa lengo la kujilipa wakati wanapo staafu si chadema wala ccm waliopinga hilo swala kwa kuwa ni swala la pesa wote walikuwa kitu kimoja;;;;;;;;ukombozi uko mikononi mwetu sisi wananchi wala si chadema wala ccm wote ni yaleyale cha msingi wananchi tuamue,

Unamua katika misingi gani?Kwa kuviweka CDM na CCM pembeni na kuweka ukombozi wa mikononi mwa wananchi ambao baadhi wanaunda vyama hivyo maana yake unataka kuhalalisha mfumo mwingine nje ya vyama vya siasa.Sasa kwa kutusaidia unadhani ni mfumo upi ambao utatoa mamlaka ya moja kwa moja kwa wananchi kufikia ukombozi?
 
Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
WILE utapingwa sana tu kwa uzi huu sababu ni kuwa hawataki kuambiwa ukweli ambao hata wao wanaujua wazi kabisa!!!!!!!!

Watakuja kukutukana kabisa ili kukukatisha tamaa usiseme mapungufu ya pande zote yanayowaweka kundi moja wakiwa na lengo moja ila kwa njia na.wakati tofauti!!!!!!

Sababu kubwa watakuambia hawajashika dola!!!!!!
Wanapokea msaada kwa mtu binafsi na michango ya wanachama mikiutanoni achilia mbali fund rising galas lakini hata kuonesha kuwa hiki kitio cha basi tumejenga kwa pesa yenu wananchi so mkitupa dola tutajenga vingi hawataki kisa hawajashika dola,watuchangishe hata tujenge maternity wing kijiji kimoja ya mfano hawataki kisa hawajashika dola!!!!!!!!

Ukweli ni kuwa wote lao moja ila wanailia nchi timing tofauti wafanye yao!!!!!!

OLESAIDIMU unahitaji darasa kidogo kuelimishwa na kutambua jukumu la vyama vya upinzani na chama ambacho kina mamlaka ya kuongoza nchi,unahitaji kutambua na kujengwa uwezo kwa kutambua na kutofautisha wajibu wa bunge na serikali.Ukielewa haya utakuwa na uwezo wa kujenga hoja zunzosimama kwenye uhalisia.

Hatutegemea kuona CHADEMA inajenga kituo cha basi eti kupewa huruma ya kuongoza nchi,ubora wa CHADEMA na vyama vingine vya kisiasa unapaswa kupimwa kulingana na sera zake.Hapa ndio tunaweza kupima dira ya maendeleo, mwelekeo wetu kama taifa.We need to see the VISION of this nation in our own imaganation na kujenga msingi wa kuamua ni chama kipi kinapaswa kupewa dhamana ya kuongoza.

Lakini niseme wazi kwamba maono haya yamejificha kwenye pazia jeusi la kivyama kuliko mawazo mapana ya mwelekeo wa kitaifa na kimataifa.This is the great weakness ambayo watanzania tunayo,the only way kuvunja minyororo hii ya kifikra ni kuingo'a CCM madarakani ili kutoa platform ya wananchi kuanza kufikiri outside the box,changamoto/matatizo ambayo yatatokana na chama kingine cha siasa ndio zitatoa platform kwa wananchi kujitambua na kujitathmini juu ya mwelekeo wa kitaifa ndani na nje ya vyama vya siasa.
 
Last edited by a moderator:

WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,662
4,153
Unamua katika misingi gani?Kwa kuviweka CDM na CCM pembeni na kuweka ukombozi wa mikononi mwa wananchi ambao baadhi wanaunda vyama hivyo maana yake unataka kuhalalisha mfumo mwingine nje ya vyama vya siasa.Sasa kwa kutusaidia unadhani ni mfumo upi ambao utatoa mamlaka ya moja kwa moja kwa wananchi kufikia ukombozi?

Bwana Killers kiss guy ana think out of the box au tuseme out of current system whereby wananchi tunalazimisha ku side na vyama. What about sisi ambao hatujapendezwa na sera au utekelezaji wa sera wa hivi vyama? Pili tungeshukuru kama CDM mkipigania mfumo wa "wagombea binafsi" ilimshuhudie nguvu za wananchi pale vyama mnaposahau kutupa vipaumbele kwenye sera zenu.
 
WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,662
4,153
OLESAIDIMU unahitaji darasa kidogo kuelimishwa na kutambua jukumu la vyama vya upinzani na chama ambacho kina mamlaka ya kuongoza nchi,unahitaji kutambua na kujengwa uwezo kwa kutambua na kutofautisha wajibu wa bunge na serikali.Ukielewa haya utakuwa na uwezo wa kujenga hoja zunzosimama kwenye uhalisia.

Hatutegemea kuona CHADEMA inajenga kituo cha basi eti kupewa huruma ya kuongoza nchi,ubora wa CHADEMA na vyama vingine vya kisiasa unapaswa kupimwa kulingana na sera zake.Hapa ndio tunaweza kupima dira ya maendeleo, mwelekeo wetu kama taifa.We need to see the VISION of this nation in our own imaganation na kujenga msingi wa kuamua ni chama kipi kinapaswa kupewa dhamana ya kuongoza.

Lakini niseme wazi kwamba maono haya yamejificha kwenye pazia jeusi la kivyama kuliko mawazo mapana ya mwelekeo wa kitaifa na kimataifa.This is the great weakness ambayo watanzania tunayo,the only way kuvunja minyororo hii ya kifikra ni kuingo'a CCM madarakani ili kutoa platform ya wananchi kuanza kufikiri outside the box,changamoto/matatizo ambayo yatatokana na chama kingine cha siasa ndio zitatoa platform kwa wananchi kujitambua na kujitathmini juu ya mwelekeo wa kitaifa ndani na nje ya vyama vya siasa.

Bwana Mbelwa, naomba utujuze jukumu la Wabunge na Madiwani kwenye kuleta maendeleo na kutelekeza sera ndani ya majimbo na kata zenu.
Unapoongelea kutoa CCM madaraka, I hope unafahamu mnaposhinda majimbo na kata tayari mnakuwa mmewatoa madarakani kwenye grass roots level lakini yet u don't have much to show for it after kushika majimbo na kata. Au sera na vision yenu inatekelezeka ikulu tu?
 
alfazulu

JF-Expert Member
May 6, 2012
734
89

`umesahau msemo wa waziri mmoja aliyepita kuwa mkitaka maendeleo mchague ccm. uktaka biashara yako iende vyema kuwa mwana ccm...hyo waionaje?
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,140
9,468
OLESAIDIMU unahitaji darasa kidogo kuelimishwa na kutambua jukumu la vyama vya upinzani na chama ambacho kina mamlaka ya kuongoza nchi,unahitaji kutambua na kujengwa uwezo kwa kutambua na kutofautisha wajibu wa bunge na serikali.Ukielewa haya utakuwa na uwezo wa kujenga hoja zunzosimama kwenye uhalisia.

Hatutegemea kuona CHADEMA inajenga kituo cha basi eti kupewa huruma ya kuongoza nchi,ubora wa CHADEMA na vyama vingine vya kisiasa unapaswa kupimwa kulingana na sera zake.Hapa ndio tunaweza kupima dira ya maendeleo, mwelekeo wetu kama taifa.We need to see the VISION of this nation in our own imaganation na kujenga msingi wa kuamua ni chama kipi kinapaswa kupewa dhamana ya kuongoza.

Lakini niseme wazi kwamba maono haya yamejificha kwenye pazia jeusi la kivyama kuliko mawazo mapana ya mwelekeo wa kitaifa na kimataifa.This is the great weakness ambayo watanzania tunayo,the only way kuvunja minyororo hii ya kifikra ni kuingo'a CCM madarakani ili kutoa platform ya wananchi kuanza kufikiri outside the box,changamoto/matatizo ambayo yatatokana na chama kingine cha siasa ndio zitatoa platform kwa wananchi kujitambua na kujitathmini juu ya mwelekeo wa kitaifa ndani na nje ya vyama vya siasa.

Ha ha haaaa yeanh it is a good try!!!!
Sikiliza mfuasi wa chama hayo maneno ya vision,mission,objectives,goals,time frame na mengine ni buzz word za NGOs na mashirika ya miradi kibaaaao!!!!!

Hivi umepitia MDGs, MKUKUTA,MKURABITA,MKUZA,VISION 2025 na mkabrasha ya aina hiyo????!!! Umewahi kusoma tender documents?????!!!!!!

Hayo maneno we endelea nayo I BELIEVE IN PRACTICAL..kwani waliopo hawana vision????!!!! Ni kuwa hizo mission na vission hazionekani zikiwanufaisha hao walengwa ndio maana watu wanafikiria mabadiliko sasa wewe unayehubiri mission na vision hiyo ni theoretical part sasa wanatakiwa waoneshe kuwa wanaweza na wanamaanisha hiyo implementation!!!!!

Haya jenga huo uwezo kwa manufaa yangu na wasomaji wengine!!!!
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,140
9,468
Bwana Mbelwa, naomba utujuze jukumu la Wabunge na Madiwani kwenye kuleta maendeleo na kutelekeza sera ndani ya majimbo na kata zenu.
Unapoongelea kutoa CCM madaraka, I hope unafahamu mnaposhinda majimbo na kata tayari mnakuwa mmewatoa madarakani kwenye grass roots level lakini yet u don't have much to show for it after kushika majimbo na kata. Au sera na vision yenu inatekelezeka ikulu tu?

Mkuu kuna baadhi ya wenzetu wanaamini CCM ikitoka madarakani Jumanne basi Jumatatu ya wiki inayofuata mambo mapyaaa!!!!!!

Lakini a "how question" hawataki kujiuliza!!!!!
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom