Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,387
- 3,575
Tanzania ninayo ishi mimi haπwezi kuandamana j3 ππππππππ
Mbowe sio kosa lake, kisu kimezama mfupani safari hii na yeye kakosa ulaji, madeni ya kampeni atalipaje, wa kwanza kuwa punguani ni mawakala wao waliotokeza hadharani kukubali matokeo.Hili tusi Mbowe Mungu anamuona...yaani sisi Watanzania 12M twende mirembe hii ni dharau kubwa dhidi yetu....
Nimekuwa nikijiuliza hapa hivi nikiandamana ni kwaajili ya Mbowe na Genge lake wapate Mihela na mikuku, mm nafaidikaje hapo baada maadamano?Safi sana Chadema na ACT. Haya ndo maamuzi niliyokuwa nayatarajia. Tukikalia kimya udhalimu huu nawahakikishieni, watanzania kwenye hii miaka 5 tunaenda kuchinjwa kama kuku...
Huu ndio uwezo wenu wa kufikiria.Sawa, andaeni risasi zisizofika hata milioni 3, mtuue Sisi Wakenya, (wapinzani siyo Watanzania!)
Kama mnadhani wa TZ ni mapunguani kama mnavyodhani ingieni barabarani nyie mnaoshinda mitandaoni, mara vpn mara USA, UK hakuna kitu kama hichoUhuni wa CCM jumatatu ndiyo mwisho, na wasifikiri haya yatakuwa kama maandamano ya Mange. This is really political revolution.
Ni mwanaume wa jinsia tu au siyo? π π πMimi kama mwanamke ninayejielewa siwezi kuwa na mwanaume mwenye akili za kiboya na coward kama wewe.
Sifa ya mwanaume ni kupambana...tena akae mbele kabisa kutetea Nchi yake na kizazi chake..
Ajiudhuru ili amfaidishe nani?
Wewe una uwezo wa juu, wa kufikiri zaidi ya uwezo wetu huu?Huu ndio uwezo wenu wa kufikiria.
Unafokafoka nini sasa? Maandamano ni swala la halali na haki ya raia. Maandamamo ni kati njia za kuwasilisha ujumbe, na hufanyika duniani kote! Sema wengi wenu hapa nyumbani ni mateka wa fikra, Polepole akishakuambia kitu chochote unakimbilia kuhalalisha tu kwa ujinga! Watu wanahisiHuyu Mbowe ni mpumbafu wa kwanza. Kipanga/ kichwa mpumbafu. Eti eti, eti, eti....
waangalizi walioletwa safari hii wana malengo yao. Tusemeje sasa juu ya malengo yenu cdm ya kurudisha ukoloni kwa 'mlango wa nyuma'
Mkoloni wa mwanzao angalau alikuja wakati ule wa mababu zetu akiwa mkono mmoja kashika misahafu. Biblia wazungu na Korani waarabu.
Mkoloni anaye letwa na wa Lissu na Mbowe wa cdm safari hii mkono mmoja kashikilia ubeberu na mwengine ushoga. Lissu anataka awarudishe hawa kwa kupitia mlango wa nyuma. Zingatia maneno 'mlango wa nyuma.'
Ni Watanzania matahira tu watakao waunga mkono hawa kwenye huu ukawa mpya wa 2020. Ukawa wa maandamano haramu. Matahira hawakosekani. Kule Hai walikuwepo walilipwa buku tatutatu na wakaishia kugugumia maumivu katika vitanda vya sibitali. Hata hapo kwenye mkutano wa waandishi wa hanari tumewasikia wakipiga tumakofi twa hapa na pale.
Serikali isicheke na hawa viongozi na isikikubali wananchi wachache wakatumiwa kama kinga na nyenzo kwa hawa viongozi ili wafikie malengo yao haya ya kijingajinga. Serikali inaposhughulika na huu Ukawa wa maandanano ihakikishe inalenga hawa viongozi wenyewe. Ili mwisho wa siku they have to face and feel the consequences of their stupidity. Kwenye maandamano hayo vyombo vya ulinzi na usalama vilenge kuyazima kwa kuhakikisha viongozi ndio wanalipia huu ujinga wao.
Askari polisi atakaye tuletea fujo kwenye maandamano yetu ya AMANI tutachinja familia yake hadharani, wewe endelea na shughuli zako acha sisi tuka andamane.Sanaa mwanaumee we nendaa ....msijee mkaanza kutusumbua kuomba michango ya matibabu ...ππππ