Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo wajitoa katika uchaguzi wa Diwani kata ya Igumbilo-Iringa. Mgombea wa CCM apita bila kupingwa

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
58,497
2,000
Halafu wataleta Kura za kwenye mabegi kutoa ushahidi kuwa wameibiwa Kura kwenye huo uchaguzi mdogo huku wakiwa wamejitoa haito shangaza kabisa.

Wanajua wakishiriki kwenye huo uchaguzi mdogo kisha wakashindwa itadhihirisha kuwa watanzania wamewakataa hata kwenye Kule wanakodai kuporwa ushindi.
Maigizo bado yanaendelea hapo.
how old are you?
 
robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
616
1,000
kushiriki uchaguzi huu ilikuwa sahihi kume i expose sana tume ya uchaguzi kimataifa yani udhaifu wake uko wazi wangesusa nani angeona maajabu yaliyotokea?
Ni kweli lakini haisaidii maana hakuna atakayesikiliza au kutoa msaada, kuliko kama wangesusia tangu mwanzo. Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa. Nani aliyesikiliza?
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
12,793
2,000
Wamefanya vizuri, na zile kata nyingine zilizobaki nako wakapite bila kupingwa.

Yale maigizo yao ya kitoto hakuna mtu anataka kuyaona tena.
Baadae muanze kulialia Tena eti madiwani wa viti maalum kumbe ngoma ya wakubwa hamuiwezi. Sasa kakojoeni mlale.
 
WAIKORU

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,402
2,000
Halafu wataleta Kura za kwenye mabegi kutoa ushahidi kuwa wameibiwa Kura kwenye huo uchaguzi mdogo huku wakiwa wamejitoa haito shangaza kabisa.

Wanajua wakishiriki kwenye huo uchaguzi mdogo kisha wakashindwa itadhihirisha kuwa watanzania wamewakataa hata kwenye Kule wanakodai kuporwa ushindi.
Maigizo bado yanaendelea hapo.
sasa hapo umeandika nini?

Halafu ukiitwa kichwa maji unakasirika....
 
Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,472
2,000
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Wewe ulisema kabla hata ya uchaguzi kuwa hupigi Kura, heshimu maamuzi yetu sisi tulio amua kupiga Kura, hongera yako wewe mtu mweupe ulie kataa kushiriki ujinga wa mtu mweusi Ila tu bahati mbaya kwamba ujanja wako mtu mweupe wa kuto kupiga Kura umeshindwa kumpa ushindi mgombea wako kisha unapiga kelele ya kuibiwa.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
58,497
2,000
Utu uzima bila akili timamu hauna faida na huwezi kunilazimisha niunge mkono unachotaka wewe tu mkuu, hayo ni maoni yangu na niko huru kuyatoa bila kujali nina umri gani.
punguza jazba mataga,
mimi nimekuuliza umri wako ili nijue size yako ya pampas.
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,263
2,000
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ACT-Wazalendo, vimejitoa katika uchaguzi wa udiwani kata ya Igumbilo, Manispaa ya Iringa uliopangwa kufanyika Desemba 8, mwaka huu...
Wanakumbuka shuka asubuhi. Bila time huru ya uchaguzi, bila Sheria mwafaka za uchaguzi (zilizopo zimetungwa mahususi kuvuruga uchaguzi, eg tume kutoshitakiwa, matokeo kutohojiwa mahakamani, watumishi wa serikali kuwa wasimamizi wa uchaguzi) upinzani kushiriki uchaguzi ni uhaini kwa wapenda democracy.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
46,536
2,000
Wewe ulisema kabla hata ya uchaguzi kuwa hupigi Kura, heshimu maamuzi yetu sisi tulio amua kupiga Kura, hongera yako wewe mtu mweupe ulie kataa kushiriki ujinga wa mtu mweusi Ila tu bahati mbaya kwamba ujanja wako mtu mweupe wa kuto kupiga Kura umeshindwa kumpa ushindi mgombea wako kisha unapiga kelele ya kuibiwa.

Sina chembe ya shaka ya nilichosema boss. Na kura nilipiga na ushahidi wa hilo ninao. Ule haukuwa uchaguzi bali ni ushenzi kama ushenzi mwingine wowote.
 
Godfrey-K

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
1,926
2,000
Nilisimamia uchaguzi huu, niliyoyaona yanatia aibu. Hakukuwa na uchaguzi nilikuwa ni ujinga tu.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
9,677
2,000
Tanzania haina heshima tena hata kale kadogo kalikokuwepo sasa hakuna imekuwa ni nchi ya kihuni tu, hovyo kabisa.
 
lenyu

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
449
500
Ni kweli lakini haisaidii maana hakuna atakayesikiliza au kutoa msaada, kuliko kama wangesusia tangu mwanzo. Kumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa. Nani aliyesikiliza?
Ww jamaa ebu jisikilize unapoongea.

Uchaguzi wa serikali za mitaa walijitoa mapema ndo maana hakuna jamii yoyote ya kimataifa iliyofuatilia.

Ila huu uchaguzi mkuu hawajajitoa na lengo kuu lilikua ni Hilo kuexpose uodho huu na lengo limetimia 100%.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
lenyu

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
449
500
Wanakumbuka shuka asubuhi. Bila time huru ya uchaguzi, bila Sheria mwafaka za uchaguzi (zilizopo zimetungwa mahususi kuvuruga uchaguzi, eg tume kutoshitakiwa, matokeo kutohojiwa mahakamani, watumishi wa serikali kuwa wasimamizi wa uchaguzi) upinzani kushiriki uchaguzi ni uhaini kwa wapenda democracy.
Lengo limeshatimia 100% yanini kusumbuana wakati malengo ushatiza.

Hakuna mbunge aliyekua anawaza kurudi bungeni lengo kuonyesha Dunia jinsi CCM walivyowajinga na lengo limetimia 100%Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom