CHADEMA na ACT Wazalendo ni wanafiki sana tunahitaji chama kipya cha siasa

Hata Lipumba alishawahi kupigwa mabomu sana na kwenda mahakamani mpaka kuvunjwa mkono na kuibiwa kura zake... Lipumba alishawahi kushinda Urais akaibiwa kura aka za kichina akiwa CUF....au umesahau..

TLP na NCCR mageuzi wakiwa na Lyatonga, Masumbuko lamwai, Mabere Marando nk walishawahi kuchezea mabomu na kukaa sana jela pia na kial aina ya usumbufu...
Hoja yako ni ipi hapa?
 
Bora kuwa na utawala wa Machief kuliko kuwa na vyama vingi huku vinazalisha wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom