Chadema Mwendo Mdundo Anayevuruga Chama Msimwonee Haya!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
401
Kama kuna mwaka ambao historia imewekwa katika tasnia ya siasa basi ni 2010. Chama kilichopigwa vita kwa nguvu zote kwamba ni cha kikabila, kimkoa, kinini sijui, hatimaye kimezoa majimbo yote yaliyonona, kuanzia kaskazini mpaka nyanda za juu kusini, magharibi mpaka mashairki. Hakika nimeamini kwamba watanzania wamechoka 'domo kaya' wanachotaka sasa ni vitendo. Bravo chadema wananchi tupo nyuma yenu. MWENDO MDUNDO MPAKA KIELEWEKE. Mwanachama yeyote anayeleta misukosuko ndani ya chama lazima awe disciplined kwa kanuni na taratibu za chama. Hakuna kuleana kama cha cha ' cc ni m'.
 
Karibu wataanza CDM ni chama cha Kisukuma maana safari hii kimepata viti vingi kanda ya ziwa kuliko kanda yeyote.
 
toa mbinu za kuimarisha chama vijijini ambako ndo mtaji wa sisiem; ili kujiwekea mazingira ya ushindi; hili la ajenda ya KUNG"OANA mmmmmmh!. Ninamashaka makubwa kama itatujenga!! Hii ni nguvu ya msukumo wa nje kusambaratisha!!!! think deeply!
 
Kama kuna mwaka ambao historia imewekwa katika tasnia ya siasa basi ni 2010. Chama kilichopigwa vita kwa nguvu zote kwamba ni cha kikabila, kimkoa, kinini sijui, hatimaye kimezoa majimbo yote yaliyonona, kuanzia kaskazini mpaka nyanda za juu kusini, magharibi mpaka mashairki. Hakika nimeamini kwamba watanzania wamechoka 'domo kaya' wanachotaka sasa ni vitendo. Bravo chadema wananchi tupo nyuma yenu. MWENDO MDUNDO MPAKA KIELEWEKE. Mwanachama yeyote anayeleta misukosuko ndani ya chama lazima awe disciplined kwa kanuni na taratibu za chama. Hakuna kuleana kama cha cha ' cc ni m'.

kimepata kura nyingi sehemu ambazo watu walikuwa wa dini ya mgombea.
Suala la ukabila, angalia hata kanda ya ziwa kama shinyanga ambapo walipata kura kuliko sehemu yoyote ile bado hawakupata hata mbonge mmoja wa viti maalum, angalia waliotoka uchagani. hivi nyinyi mueleweshwaje ndo muelewe? Agggghhhhh.
 
Ngwendu cjui ni kingwendu kwann mara zote unakuwa off topic?unajibebesha 'miradi' isiyo na tija,viti maalum sio zawadi ni utendaji,kwenye bunge la 9 kuna mama mmoja wa bariadi alizawadiwa ubunge na cuf,kwa miaka 5 alichangia mara 1 na siku ya kuvunjwa bunge akachukua kadi ya ccm kwa jk,je hii imeisaidiaje cuf ktk uchaguzi wa 2010? Cdm chapeni kazi waosha vinywa achana nao
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom