CHADEMA MWANZA: Mwana Magamba achezea Kichapo cha haja

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Leo katika Mkutano wa CDM na wamachinga jijini Mwanza wakiongozwa na Kamanda Wenje na Heche.
Waziri Mkuu apewa 14 Days amuondoe Mkurugenzi otherwise People's Power itamchomoa kwa Nguvu.
Kuna Mwana Magamba mmoja alijitusu kuleta Fujo, akaishia Mikononi mwa Makamanda na kilichompata hatokisahau maishani mwake.

PEOPLEZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
Naunga mkono vyote. Kichapo cha mwanamagamba na kuondolewa kwa mkurugenzi wa jiji, Wilson Kabwe. Aluta continua
 
After 14 Days ntapanda hata ndege ikibid kwenda ku join Makamanda Kum ng'oa Mkurugenzi.
Kile Kichapo alichopewa Mwana Magamba kimenisuuza Mnooooo...
 
Huyo jamaa aliyechapwa hapo atamlaani sana aliyemtuma!
 
hahaha ocd wa arusha yupo ana dunda hadi leo alipewa siku 14 na chadema! hahaha pipizi pawa ni mbwa asie na meno ana bweka tu!
 
Tehe tehe tehe chadema walitoa siku 14 iringa kwa rpc aondoke,mbunge wa iringa msigwa alifyata mkia hadi leo rpc anadunda! hahaha pipizi pawa ni ulojo tu!
 
CCM hakuna lugha wanayoilewa zaidi ya kichapo, kwa maana imeandikwa mgongo wa mpumbavu unafaa kwa fimbo.
 
John mnyika alitoa siku 14 wamachinga dar maeneo ya ubungo warudi maeneo yao! subutu leo miezi 8 hakuna lolote! pipizi pouwa bana
 
hahaha chadema walimpa siku 14 john tendwa ajiuzulu! leo ni miezi 3! jamani chadema na mkwala wa dog!
 
chadema waliipa serikali masaa 48 lema atoke mahabusu lakini serikali ilipuuza na lema alikaa siku 5! pipizi pawa ni maneno ya kwenye kanga
 
hahaha chadema
walimpa siku 14 john tendwa ajiuzulu! leo ni miezi 3! jamani chadema na
mkwala wa dog!

hata asipoondolewa lakin mkwara unasaidia mkuu huoni siku hizi Tendwa amenywea ni kama hayupo vile,chezeya makamanda weye!
 
kamanda mkuu mbowe alikamatwa na kuwekwa ndani na kupelekwa arusha hajitambui,awali chadema walimpa kova masaa 6 amwachie,kova alikomaa nae hadi arusha! duh chadema hawajifunzi kuchimba mkwala!
 
Yote yanawezekana chini ya jua hata kama hataondolewa lakini umakini wake utaongezeka katika utendaji wa kazi kwani atajua ni nini hatima yake! Hayo ya mifano ya nyuma wala haisaidii ktk kuwakatisha tamaa Makamanda keep on touch mpaka kieleweke
 
kamanda mkuu mbowe alikamatwa na kuwekwa ndani na kupelekwa arusha hajitambui,awali chadema walimpa kova masaa 6 amwachie,kova alikomaa nae hadi arusha! duh chadema hawajifunzi kuchimba mkwala!
Naona umelewa gongo na dengelua ndio maana muda wote pipiz vipi utapara miwa
 
hahaha ocd wa arusha yupo ana dunda hadi leo alipewa siku 14 na chadema! hahaha pipizi pawa ni mbwa asie na meno ana bweka tu!
Haujaona effects zake tu,
Hauoni Ma Bwana zako now wanacheza Ngoma ya CDM, kuanzi Mkwer.e hadi Msomali Jangili wa Meno ya tembo
 
Back
Top Bottom