kisururu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 331
- 93
Karubuniwa kwa kuahidiwa uongozi na mikataba ya kibiashara hana lolote huyuKuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi,CHADEMA HAIMTEGEMEI MTU MMOJA.
Karubuniwa kwa kuahidiwa uongozi na mikataba ya kibiashara hana lolote huyuKuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi,CHADEMA HAIMTEGEMEI MTU MMOJA.
Kikwete,Msekwa,kawawa,Nchimbi,Meghji,Karume,Malima,NNauye,Malecela,Mkapa,dewji koo kumi na moja za majambazi wa mali za ummaKweli kabisa, inategemea koo tofauti kama akina Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Lema, malizia...
Mvalisha mbwa bendera za vyama vingine na mzinzi maarufu aka Igunga fumaniwa aka mwigulu chemba aka Lameck mkumbo ndio muuaji wa kijana wa watu ndagowewe,upo????kwanini ulienda kuua kijana wa watu kule ndago??????????????hiyo dhambi itakutafuna maisha yako yote
Kweli? Vipi kuhusu Tyson, Lusinde, Malima na Kitwanga?
Wewe hujaelewa alichokiandika Kitila Mkumbo.
Kitila Mkumbo ameandika hivi "Hakuna mwanasiasa aliyekuwa upinzani akarudi ccm akaendelea kuwa mwanasiasa ! "
Sasa wewe unaweka picha ya huyo jamaa kwani alishawahi kuwa upinzani na akarudi ccm ??
Umeelewa sasa ??
Hakuna mwanasiasa aliyekuwa upinzani akarudi ccm akaendelea kuwa mwanasiasa !
Kweli labda Wasira ndio amedumu au alipokuwa upinzani kipindi kile alikuwa si kwa nia ya dhati
Baregu, Rwakatare, Prof Safari, Mbilinyi, Msigwa, Kabwe, mnyika, Arfi, Mdee, yaaani variety from all corners of Tanganyika!Kweli kabisa, inategemea koo tofauti kama akina Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Lema, malizia...
Kweli kabisa, inategemea koo tofauti kama akina Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Lema, malizia...
MFADHILI MKUU WA CHADEMA SENGEREMA AHAMIA CCM
MLEZI na Mfadhili Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Sengerema, mkoani Mwanza, Bw. Alex Manji, ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Bw. Manji ambaye hivi karibuni alitangaza kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA, katika Uchaguzi Mkuu ujao, alifikia uamuzi huo kwenye Mkutano Mkuu wa Uchaguzi Jumuiya ya Wazazi wa CCM, wilayani hapa, uliofanyia jana.
Alisema hajashawishiwa na mtu kukihama chama hicho bali amebaini kuwa kuendelea kukaa huko ni sawa na kupoteza muda wake kwani CCM ndio chama kilichomlea tangu utoto wake.
Nimeamua kurudi nyumbani CCM kwa hiari yangu, nitakuwa bega kwa bega na wanachama wote kuhakikisha tunaisambaratisha CHADEMA hapa Sengerema.
Ninaijua vizuri CHADEMA kwa sababu nimekuwa mdhamini wao mkuu katika jimbo hili, alisema Bw. Manji ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kata ya Nyampulukano.
Katika mkutano huo, Bw. Manji alipewa kadi yenye namba 0136371 iliyotolewa Novemba 5,2010, na mgeni rasmi Kamanda wa Vijana wa CCM wilayani hapa, Bw. William Ngeleja, ambaye alisema uamuzi aliochukua ni wa busara na unastahili kupongezwa.
Akizungumzia uchaguzi huo, Mbunge wa jimbo hilo, Bw. William Ngeleja, aliwataka wajumbe wa mkutano huo kuchagua viongozi ambao watasaidia kuimarisha chama katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Ndugu wajumbe, naomba tuwe makini tunapochagua viongozi ambao watakuwa msingi imara wa chama chetu huko tunakokwenda ili tuendelee kuwatumikia wananchi, alisema.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa CCM wilayani humo, Bw. Jaji Tasinga, aliwataka wajumbe wa mkutano huo wajitokeze kwa wingi kutoa maoni yao kwenye tume ya kukusanya maoni ya Katiba Mpya.
Dhaifu, Nchimbi, Nnauye, Gama, Ruksa, Sigwiyemisi, Sita, Anna Abdallah na mumewe!!!! CCM chama cha kifamiliaNyie watu mmelogwa na nani?
Mbona mnakua na vichwa vigumu kama nazi?
Alihama Kaburu Kigoma sembuse huyo mbuzi. Chezea Cdm wewe!