CHADEMA Mwanza almanusura wazipige

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee mmoja alipanda juukwaani wakati mbowe akihutubia na kutoa ahadi ya kuipa chadema Mwanza kiwanja pale nyamagana lakini ghafla alipanda kijana mmoja jukwaani alikiwa amevalia tishet ya m4c ambapo alianza kuzomewa kidogo mkutano uvunjike

Mikutano ya chadema haiwezi kuwa mbali na fujo
 
Mnahangaika!
 
Acha UMBEA
 
Pole,inawezekana leo lumumba kulikuwa na foleni kali sana umeshindwa kuchukua buku7,unaganga njaa jf
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee mmoja alipanda juukwaani wakati mbowe akihutubia na kutoa ahadi ya kuipa chadema Mwanza kiwanja pale nyamagana lakini ghafla alipanda kijana mmoja jukwaani alikiwa amevalia tishet ya m4c ambapo alianza kuzomewa kidogo mkutano uvunjike

Mikutano ya chadema haiwezi kuwa mbali na fujo

Nimeangalia itv cjaona hiyo fujo, vp msiba wa mabina unaendeleaje?
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mzee mmoja alipanda juukwaani wakati mbowe akihutubia na kutoa ahadi ya kuipa chadema Mwanza kiwanja pale nyamagana lakini ghafla alipanda kijana mmoja jukwaani alikiwa amevalia tishet ya m4c ambapo alianza kuzomewa kidogo mkutano uvunjike

Mikutano ya chadema haiwezi kuwa mbali na fujo

Wote tumeshuhudia Taarifa ya Habari kupitia ITV saa 2, labda ungeweza kutuambia yule Kijana alikuwa anamwambia nini yule Mzee hadi wananchi wakaamua kumzomea hadi akashushwa kwenye jukwaa tofauti na hapo tutakuita mbea kwani hakukuwa na dalili yeyote iliyoonyesha kuna watu walitaka kupigana hali ilikuwa ya utulivu na huyo kijana watu walikuwa wanamuangalia tu akiwemo Mh. mbowe.
 
Kajipange mkuu umekosea njia
Plus kizazi cha dot com minus kizazi cha 47
Peopleeeeeeeee powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Mleta mada wewe ni mwongo kabisa! Yule kijana alikuwa na jambo na yule mzee aliyetoa kiwanja chake kwa CDM wala si fujo kama unavyosema. Mungu akusaidie usiendelee kuwa mwongo na kwa bahati nzuri taarifa nimeiangalia mwenyewe pole sana mkuu!
 
Mbeya ni mtu anayesema ukweli, ila tatzo anakuwa hajaambiwa kuusema.. Hivyo anasema ukweli pasi ya kiambiwa au nyuma ya muhusika....
 
weka picha we gamba ku support uzi wako otherwise huu ni umbea na uongo
 
Back
Top Bottom