Chadema mwanga

MBURE JASHA

JF-Expert Member
May 7, 2011
200
46
asubuhi hii nimepita hapa JF nikakuta Uzi umeandikwa "CHADEMA YAFUNIKA MWANGA"
Hoja yangu ni kuwa ni Kweli CDM ni Chama ambazo watz wameanza kuwa na matumiani nacho, lakini tufikie hatua tuwe wakweli tunapo kipa CDM Promo. Mimi nilikuwa Mwanga na kwetu ni Mwanga Pia. Cdm ni kweli wamefanya mkutano Mwanga lakini si kufunika kiivyo. Walitumia sehemu ambayo ni Parking ya Magari na Waendesha Boda boda. Walichokifanya viongozi wa CDM wilaya ni kutangaza kuwa anakuja godbless lema kumbe ni Basil Lema mtu ambaye wanamwanga wote wanamfahamu na ni fulu msanii kama alivyo katibu wa Cdm Bw Shabani.

All in All katika sehemu ya Ajabu kisiasa Duniani ni Hapa Mwanga. Wanamwanga majority si waumini wa Vyama vya siasa hata hiyo CCM yenyewe wanayoipigia kura wala hawaishadadii kihivyo. Wanamwanga wote wanakuwa wagomvi wa watu wanaowaongoza. kuna mfumo waliouzoea wa kujitafutia maendeleo yao waliozoeshwa na Mzee Msuya . Si maghembe wala nani anayeza kucop na huo mfumo.

Hivyo sio kweli kwamba CDM walifunika kama mtoa mada alivyosema. Mbona wakubwa wa CDM tena timu nzima ilikuja ilivyojaribu kumshambulia Babu . Watu walikuwa kwenye mistari ya kuchukua kadi za CDM. Lakini Mbowe alivyoanza habari za kumchafua Babu watu wakatawanyika na mkutano ukaisha hapo hapo.

Tuwe wakweli
 
Evidence please, hata wewe hutaaminika kama hautaleta vielelezo vinavyosupport maelezo yako.
Kama na wewe ni mamluki kaa pembeni, kuna thread nyingi walizopost wenzako unaweza kusoma kama huna kazi
 
Huyo babu ni babu yako au babu nani?mbona una kurupuka na kuanza kutumia majina yenu ya vijiweni baada ya kuelezea kilichotokea jana km CDM walifuni au hawakufunika na nini kimeto kiujumla siyo mambo ya bibi na babu
 
we ni mamluki2 huna ukweli wowote piga bunda, vipi mbona huendi au unajipya? Toa sred kama huna kaa kimya,
 
Kikore makande yameiva tuje kula? naona wakati unapost huu uzi makande yalikuwa yanaungua.
 
CHADEMA kuifunika mwanga ni nini? kuna uchaguzi au porojo za kawaida tu?

Nasikitika kusikia magwanda bado wanaendeleza siasa za kusema watu badala ya sera.
 
Unafiki ni dhambi mbaya sana.Mimi nina jamaa yangu alihudhuria mkutano huo na wala hana ufuasi wa vyama kaniambia mkutano ulikuwa na umati mkubwa haijapata kutokea.
 
huyo babu yako kashaanza kuvuna mirungi kule milimani au bado.naomba jibu.mia
 
Babu ana maana ya Msuya .Ina maana wapare wote Msuya akisema sema wanakaa kimya au mie sijakuelewa hapa mkuu wangu ?
 
Unafiki ni dhambi mbaya sana.Mimi nina jamaa yangu alihudhuria mkutano huo na wala hana ufuasi wa vyama kaniambia mkutano ulikuwa na umati mkubwa haijapata kutokea.

Unaleta habari ya jamaa yako hapa JF, wakati mtu aliokuwepo kwenye mkutano kaanzisha hii thread akieleza ukweli wa Mwanga.

Mwambie jamaa yako JF sio sehemu ya wahuni na porojo
 
Unaleta habari ya jamaa yako hapa JF, wakati mtu aliokuwepo kwenye mkutano kaanzisha hii thread akieleza ukweli wa Mwanga.

Mwambie jamaa yako JF sio sehemu ya wahuni na porojo

nenda mirembe kajaribu kupimwa akili yako inawezekana homa imeanza
 
JF vi2ko sana hasa hawa jamaa wa magwanda.,hvi mnahitaji evidence kwa huyu tu aliyepinga mahudhurio ya wa2 kwny mkutano but jamaa aliyeleta ile habari wala hamna haja ya evidence,poleni sana na mtaendelea kuwa wapinzani mpaka mnakufa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom