Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
CHADEMA mwacheni Rais Wangu. Hakuna Rais Barani Afrika anayejichanganya na watu wake kama JK. misibani yupo, Kitchen Party yupo, Harusi yupo. Ikulu yupo kwa ajili ya watu wake mda wowote. Nje ya nchi akitoka ana kuwa huru kukutana na raia wake. Mnachotaka ni nini? Hakuwatuma madaktrari wagome. Madaktari wnagoma kwa ajili ya maslahi yao. Iweje mumseme bosi wetu?