NAFIKIRI CHADEMA SASA WASHUGULIKIE MAJIMBO NA KERO ZA WANACHI ACHENI KUGOMBANA NA KAMA KUNA MTU ANAONA KUKERWA NA CHAMA ONDOKA. MAANA SIKU ZOTE KAMA MTU HAFUATI MASHARTI YA CHAMA NI VYEMA AKAONDOKA. Please DR SLAA TUNAKUHESHIMU NA TUNAKUHITAJI TUNAOMBA UTULIE KIMYA NA UENDELEE NA KAZI KIMYA, PIA POLISI KUKATAZA WANACHADEMA KUWAPONGEZA WANANCHI TUMIENI TV KUFIKISHA UJUMBE KWA WANANCHI KUWAPONGEZA NA KUTOA SABABU KUWA POLISI WAMEBANA NA HILI POLISI WAO NDO WANA LIFE NGUMU SANA