Chadema mtoto habembelezwi kwa nyimbo mbaya!!

Chadema hawalet chuki bali ccm na mambo yao wanayoyafanya mf.mauaj nyamongo,ufisad,matabaka n.k iv we unadhan wananch wa sasa iv ndo wale wa miaka 50 iliyopita hawajui a wala che..yan 2kiandamana kukumbushia ahadi walizotoa eti 2naleta vurugu bwana ee kama mbwai mbwai acha tuuane..by the way kila siku wa2 wanakufa kama sio ajal,kauliwa na polisi malaria..na kila mtu atakufa siku moja acha 2badilishe mapish ili 2tasonga mbele..WE HATA USIOGOPE MUDA UTAFIKA KITAELEWEKA TU.

Uwaane na nani mzee? ungetoa mawazo yako ukiwa huru mtu mwenyewe umejificha kwenye shamba la karanga kwa kutumia jina bandia. Narudia thena na tena fujo mnaweza kuishawishi lakini nyie ni kama wapiga ngoma hamuingii kuicheza mbona hatujaona jina lako kwenye wale waliouwawa arusha kwa risasi za moto?
 
NDG YANGU SHOSSI, SOMA ALAMA ZA WAKATI, PIA REJEA SIASA ZA NCHI YETU,HIVI VYUO VIKUU VYOTE HIVI WASOMI WAKE UTAWAPELEKA WAPI????? KAMA VIWANDA VYOTE MFILISI,MASHIRIKA YA UMMA YAMETOKOMEZWA, KODI INALIPWA NA WATU WACHACHE HIVI...... I THINK BELOW 20%, RASLIMALI INAKWENDA KWA MIKATABA MIBOVU NAMNA HII, UFISADI KILA MAHALI , NAFIKIRI SASA KUTOKA LEVEL YA KITAIFA KARIBU INAFIKA NGAZI YA FAMILIA, JE NI NINI KITOKEE ILI UPATE KUJUA SYSTEM YA SERKALI YETU IME FAIL??????????? PIA HUONI JINSI WATAWALA WANAVYOWAGAWA WATANZANIA KWA DINI, WENYE NACHO NA WASIOKUWA NACHO,WATAWALA NA WATAWALIWA,etc,etc. HISTORIA YA HAPA KARIBU TU - UNGUJA NAYO HUIJUI???! KURA ZILIPOSHINDWA KULETA MABADILIKO NINI KILITOKEA??????
MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Sha naomba nikujibu kwa ufupi maana nimekaa muda mwingi kuichangia hii tread nisije kuambiwa nimeikimbia. Tupo kujenga taifa lenye haki na usawa. Hivi unataka niamini cdm wakiingia madarakani watafanya wonders over night wote tutaajiriwa? unataka kuniambia wale watendaji wa zamani wote watatimuliwa tutawekwa sisi tunaoshabikia cdm? je cdm wanazo pesa za kuwalipa hao watakao watumua?

Hapo kweyebold nyekundu nilitegemea pengine hujui lakini unafaham mathalan mhe slaa anapokea milioni saba 7 m na hazilipii kodi sio yeye tu pengine na wenzake ni kweli hata hao unaowatetea kimatendo hawawezi kusaidia ukusanyaji wa ushuru watawasaidia watu wanaotoka kumoja "pengine" na kujenga hoja kama iliyojengwa kwenye kipato cha dr slaa mtasema nini na mejawa na mapenzi hamuoni chongo?
 
Mwanzisha thread anataka kutuletea text-book approach kwenye mambo ya ukombozi.
Hizi ni taarabu za miaka nenda rudi ambazo 5 decades post-independence bado tunapiga mark time!!

Sidhani kama anayatambua matatizo ya sisi wa-TZ kwa mapana (bigger picture view). Sidhani!
Inabidi watu tusome vizuri historia ya akina Mandela kwa ajili ya kupata darasa. Inabidi!

Inabidi tufike mahali ninyi manojiita "wasomi" muondoe huo ukungu wa vitabu machoni na kwenye bongo zenu ili muweze kuiona na kuijjua hali halisi. Inabidi!

"Msomi" akikaa kwenye kijiofisi chenye AC, akaendesha ki-prado chake na kujenga kijumba pale Segerea anajiona basi kafika - this is pathetically myopic!!

Cut that "tusubiri mchakato wa katiba" crap. Cut all that bullshit and be practical!!

At least for a change since the Patels, the Dewji's, the RACHEL's started ripping us off, we have people who are saying "enough is enough".

Mbowe & co are on the right track. They need support ya "great thinkers" na si vinginevyo.

Wake up "wasomi"!

Mimi nimeipenda hii comment

quote_icon.png
Originally Posted by apolycaripto
Haya Mbowe anaelekea kwake kura kuku na mazagazaga kibao kurudisha afya,wewe kwa kuwa huna chochote wala hukujishughulisha na chochote leo kisa ulikuwa mahakamani hata kipande cha mhogo pale kona huwezi kununua. Inasikitisha sana.
 
Mbowe is not a Free-Man, he is out of custody

Freedom is coming soon and Hon. Mbowe will be a Freeman
 
HTML:
Mwanzisha thread anataka kutuletea text-book approach kwenye mambo ya ukombozi.
Hizi ni taarabu za miaka nenda rudi ambazo 5 decades post-independence bado tunapiga mark time!!

Sidhani kama anayatambua matatizo ya sisi wa-TZ kwa mapana (bigger picture view). Sidhani!
Inabidi watu tusome vizuri historia ya akina Mandela kwa ajili ya kupata darasa. Inabidi!

Inabidi tufike mahali ninyi manojiita "wasomi" muondoe huo ukungu wa vitabu machoni na kwenye bongo zenu ili muweze kuiona na kuijjua hali halisi. Inabidi!

"Msomi" akikaa kwenye kijiofisi chenye AC, akaendesha ki-prado chake na kujenga kijumba pale Segerea anajiona basi kafika - this is pathetically myopic!!

Cut that "tusubiri mchakato wa katiba" crap. Cut all that bullshit and be practical!!

At least for a change since the Patels, the Dewji's, the RACHEL's started ripping us off, we have people who are saying "enough is enough".

Mbowe & co are on the right track. They need support ya "great thinkers" na si vinginevyo.

Wake up "wasomi"!

Goood,
Sometims bila msuri, haki haiwezi kupatikana. Waache kina Shosi wadai haki kwa kuchekacheka nao, miaka 50 itapita watabaki kuhubiri aman na utulivu huku nchi inaliwa, unless ni mmoja wao then yuko right kwenye hii thread.
 
Unajua kebehi hata mie nazijua tena zinye kuumiza na kufurahisha kwa wakati huo huo hivi nikuulize wewe unashabikia chuki mwenyekiti wako anapeana mkono na Rais akienda jukwaani anakupika uwe na chuki na aliekuwa akisalimiana nae kwa bashasha unatakiwa hata kama una akili za kushikiza ujitambue. Nadhani kati yangu mimi na wewe ni wewe mwenye magamba tena unagamba ya Mamba!
Kupingana siyo kugombana. Nadhani umeanza kujipinga. Kwa sababu umeanzisha thread subiri members wachangie.
Wahenga walisema: Kama Mungu angetaka tuseme zaidi kuliko kusikiliza basi tungepewa midomo
miwili na sikio moja.
 
Tunayoipenda nchi tumeshukuru yale yote mabaya mliosema yatatokea hayakutokea na Mungu atatuepushi leo na siku za usoni Amin.
U sound like the audience I saw yesterday kwenye mkutano wa Nape! Soon ataanzisha kanisa manake alikuwa ana hubiri kama Moses kulola vile!
Kwa ufupi tu ni kwamba wewe ni mmoja wa watz ambao ubongo wao umeoshwa! Mnaendelea kudumisha fikra! Kwa jema lipi unaendelea kudumisha fikra? Unashabikia matumizi ya bil 480 kwa matumizi ya korosho na karanga kwa ajili ya wageni kwenye kaidara kamoja!! Hebu tuambie Sirikali ya JK imefanya nini jema la kusifiwa taja hata 5 tu!!!!
 
Hivi wewe umetumwa au akili yako inakutuma utushawishi tuwe na akili mgando kama yako. Amani haiwezi kuwepo kama haki inaporwa.
 
Shoshi, jina langu ndo hilo hapo Miyango..haukuliona arusha kwa sababu ckubahatika kufa ile cku..hamuwez kutuua wote kwa cku moja mtaua leo kesho wanazaliwa wengine..niuane na wewe au unaogopa?ka unaogo bora utoroke mana mi na wewe hadi kieleweke 2mechoka na ngonjera zenu za amani..si 2nataka mkate aman unaweza kuila ww?au we kwa sababu una mkate?afu wenzio unatupa aman ..2PE MKATE
 
Katika harakati za ukombozi suala la kukatishwa tamaa lipo. Katika siku zetu hizi kuna kizazi kinajiita wasomi ambacho hutumia lugha za ujanja ujanja na ambazo zinafanana na ustaarabu. Lakini kizazi hiki kinachoishi kimjini mjini kinanufaika na ujanja ujanja huu. Hata hivyo, wakati huja tu, ukweli nao huja tu. Hakuna historia inayoonesha wadhalimu wameshinda milele. Lakini pia gharama ya ushindi ni kubwa. Kebehi na jeuri ya madaraka nayo ni ishara ya muda tu ya kuelekea kuanguka kwa ufalme. Labda katika maisha yetu labda baada ya maisha yetu, ufalme wa dhulma utaanguka. Hadi hapo wakati utakapotimia, wenye kebehi wataendelea kuwepo kwa kuwa wao nao wanafaidika na haya tusiyoyaunga mkono. Mbinu zao ni nyingi na miongoni mwa mbinu hizo ni kuja na lugha za kudai wao ni wapenda amani as long as "amani" hiyo inashabihiana na maslahi yao.

Ah, wakati waja. Waja upesi sana.
 
Tunayoipenda nchi tumeshukuru yale yote mabaya mliosema yatatokea hayakutokea na Mungu atatuepushi leo na siku za usoni Amin.

Kaka Shossi
Nimekuwa nikithamini na kuiheshimu sana michango yako hapa jamvini ila kwa hili, nafikiri unashindwa kujua kwamba watawala wa nchi hii wana-take advantage ya upole wa watanzania ili kutekeleza agenda zao zenye kuwanufaisha wao.
Umefika wakati tumechoka na amani haiji hadi kwa ncha ya upanga, ikibidi tuchinjane na kuuana uli kuleta serikali yenye adabu so be it! I'll be the 1st one to shed my blood!...just like my brothers in Syria!
salam zao walioko madarakani. Ni bora kufa ukipigania haki zako kuliko kuwa mpenda amani anaefanywa mjinga. I'm ready to die!!!!
 
Nadhani unastahili kupongezwa kwa constructive idea ambayo hiki kizazi cha vodafasta hakiwezi kukuelewa.Kila dhama zinamchepuko wake hivyo hizi purukushani zilizopo ni njia tu.Siasa si kwa vijana tu bali ni kina mama,wazee,watu wazima(umri wa kati) pia.Wafuasi wengi wa CDM ata ukiwatizama katika picha ni watu waliokata tamaa kimavazi,kiafya na kifikra pia.Tazama picha ulizoletewa leo toka arusha hawa ndio vijana wa kutuletea ukombozi kama wanavyodai?.

Jiulize mtu aliyekatika shughuli yake hawezi kuacha ama kumuaga mwajiri wake kuwa anakwenda kupigania haki ya mkosefu mahakamani.Hili ni kundi linalodhani CDM ikiingia madarakani ajira nje,chakula bure na mshahara utalipwa hata pasipo kufanya kazi.Nasikitika kwa sababu wengi wao hawatapata hicho wanachokitarajia hata kama CDM itachukua nchi na badala yake kuamia chama kingine huku wakizua machafuko (kenya baada ya KANU).Tuwajenge vijana wetu jinsi ya kukabiliana na maisha pamoja na kushiriki katika shughuli za kiuchumi kwani kwa mihemuko hii bila shughuli yeyote ndani ya miaka mitano watakuwa wamezeeka kimaisha na wengine jela kwa kudokoa vya watu.

Haya Mbowe anaelekea kwake kura kuku na mazagazaga kibao kurudisha afya,wewe kwa kuwa huna chochote wala hukujishughulisha na chochote leo kisa ulikuwa mahakamani hata kipande cha mhogo pale kona huwezi kununua. Inasikitisha sana.

Too selfish!!
Hata Tunisia na Egypt kulikuwa na watu wenye mawazo na maono kama yako, lakini mwisho wake kila mtu anajua!
 
Naomba kuuliza hivi Freeman yuko nje kwa Dhamana Mpya au anaendelea na dhamana ile ile ya kesi ya zamani? waliohudhuria mahakamani nijuzeni kuhusu hili
Yuko nje kwa dhamana mpya baada ya mdhamini wa kwanza kuwa na kesi nyingine hari iliyosababisha tarehe 27.5.2011 akuchelewa kufika mahama kuu na kukuta hakimu ameshatoa kibari cha Mbowe kukamatwa kwani tarehe hiyo hiyo nae alikuwa na kesi mahakama za mwanzo ambayo inahusiana na uchaguzi pia...
 
Too selfish!!
Hata Tunisia na Egypt kulikuwa na watu wenye mawazo na maono kama yako, lakini mwisho wake kila mtu anajua!
Mkuu sisi hatuwezi kujifananisha na watunis au waegyptians si uliwaona wale waliokuwa wanaandamana egypt hebu niambie kuna aliekuwa anaandamana tumbo wazi? Wale vijana wengi wao wana degree moja moja na walikuwa wanajua wanafanya nini! Waegypt waliweka tofauti dini zao na hawakuwa wanashabikia vyama waliweka utaifa mbele! Hii dhana ni kinyume kabisa na hapa kwetu sisi tunataka fulani awe rais full stop! Hatutaku kuangalia future ya nchi yetu!
 
Hizo degree unazozizungumzia wewe ni zipi? za madrasat au zipi hizo?
 
Mkuu sisi hatuwezi kujifananisha na watunis au waegyptians si uliwaona wale waliokuwa wanaandamana egypt hebu niambie kuna aliekuwa anaandamana tumbo wazi? Wale vijana wengi wao wana degree moja moja na walikuwa wanajua wanafanya nini! Waegypt waliweka tofauti dini zao na hawakuwa wanashabikia vyama waliweka utaifa mbele! Hii dhana ni kinyume kabisa na hapa kwetu sisi tunataka fulani awe rais full stop! Hatutaku kuangalia future ya nchi yetu!

Can you substantiate hapo kwenye red?
 
Back
Top Bottom