CHADEMA mtegoni!!!!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.

Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.

Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Aksante kwa mawazo yako mema, lakini sisi tulishayaona hayo. Kule ulaya wanasema; Never argue with a fool. Dr. Slaa, chapa kazi tu mkuu. Hukuenda kuangalia mabango wala wangapi halal. Umeenda kufufua kazi na kuupima uhai wa chama. Dr. nakuthibitishia Kigoma ni ngome ya CDM si ngome ya ZZK. Ameshaliona hilo na ameshalitambua hilo. Anajua hakuna aliye maarufu kuliko CDM.
Kaza buti kamanda, kurudi nyuma mwiko. Kuangalia upuuzi wa hayo magambas ni kuupoteza mda wako.
Naingojea siku hayo magambas watafunguka mimacho, badala ya kupoteza hela za kushindana na CDM wazitumie kununua hata daftari wazigawe mashuleni.
Watoto wamepigika, Wazazi wamesagika, kila mmoja hoi bin taaban. Pa kulala pale Mwandiga taabu, dagaa wa Kigoma kuwafikisha Dar ngoma. Jamani, magamba, tumieni akili ya kuku tu mzitumie hizo fedha kubadili kilio cha myonge mpiga kura wako. Don't waste your resources for Siasa maji taka.
 
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.

Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.

Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

chadema tunaongozwa na Mungu wewe ndiyo maana tunapanga mambo yanapangika.
 
kwenye haya mambo ya kigoma , ndiyo mahali ambapo nimejihakikishia uwezo mkubwa alionao DR SLAA ! SLAA ni tunu , tumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu , CCM WAKIMUONA WANATAWANYIKA !
 
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.

Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.

Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mkuu VUTA- NKUVUTE , mara nyingi kwako siasa imekuwa si vita , laiti kama wakikusikia pale ofisi ndogo , watakutenga , maana kwao siasa ni mabomu na mauaji ! Mungu akulinde sana kiongozi .
 
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.

Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.

Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Wamefata nini mapema hivi huko Kigoma wakati majuzi tu wamemvua madaraka mtu wao? Kama si uchokozi ni nini? Si wangesubiri kidogo upepo mbaya upite kwanza ndio waende! Hakuna anayewatega,wamejiroga wenyewe!
 
kwenye haya mambo ya kigoma , ndiyo mahali ambapo nimejihakikishia uwezo mkubwa alionao DR SLAA ! SLAA ni tunu , tumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu , CCM WAKIMUONA WANATAWANYIKA !

CCM wakimuona wapi? Kwani ametokea chama gani kwenda hiyo saccos?
 
...Mzee tupatupa una akili kuliko hata chair wako,safi sana mzee..
 
kwenye haya mambo ya kigoma , ndiyo mahali ambapo nimejihakikishia uwezo mkubwa alionao DR SLAA ! SLAA ni tunu , tumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu , CCM WAKIMUONA WANATAWANYIKA !
Ni kweli mkuu

Kwenye nchi za watu wenye akili huyu jamaa angetumiwa kwenye mambo makubwa sana ya kitaifa, ila Kibongo bongo ndiye adui wa system
 
kwenye haya mambo ya kigoma , ndiyo mahali ambapo nimejihakikishia uwezo mkubwa alionao dr slaa ! Slaa ni tunu , tumshukuru mungu kwa kutupa mtu huyu , ccm wakimuona wanatawanyika !

wanaingia mitini.dr. Slaa alipangiwa mdahalo na kinana. Kwani kinana alionekana?kama ni sehemu ya kutumia polisi wanawatumia vinginevyo wanasepa.magamba jamani!!!!!si mchezo.
 
Wamefata nini mapema hivi huko Kigoma wakati majuzi tu wamemvua madaraka mtu wao? Kama si uchokozi ni nini? Si wangesubiri kidogo upepo mbaya upite kwanza ndio waende! Hakuna anayewatega,wamejiroga wenyewe!

Kwa hiki ulichokiandika kinaendana na ID yako ya trade name ya condom kwa hiyo hapo ulipo unatumika
 
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.

Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.

Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Big like! Una akili sana wewe
 
Wamefata nini mapema hivi huko Kigoma wakati majuzi tu wamemvua madaraka mtu wao? Kama si uchokozi ni nini? Si wangesubiri kidogo upepo mbaya upite kwanza ndio waende! Hakuna anayewatega,wamejiroga wenyewe!
Pole mkuu maisha ndivyo yalivyo kuna siku na wewe utafurahi.
 
Back
Top Bottom