VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam