Chadema mtakuwa wasindikizaji 2015 na 2020

riro23

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
788
771
Chadema mtakuwa wasindikizaj katka chaguz mbalimbal labda kama arusha na kilimanjaro watakuwa na nchi yao pekee tofaut na tz hii ILA UKWELI UNAUMA
 
Yaani Chagadema wanadhani wapiga kura ni majuha, sheria zao zina double standards wengine wa kanda ya ziwa wanafukuzwa wenyewe wachaga wakina Lema wanatukana wanavyotaka hakuna wa kuwaonya, wakita yao katiba haufuatwi, hivi leo hii mwenyeji wa Mara, Mwanza Kigoma, Tanga, Pwani, Lindi,MTwara na mikoa yote ambayo si KLM na Arusha kuishabikia Chagadema ni kutojitambua, chama kina wenyewe,
Chadema mtakuwa wasindikizaj katka chaguz mbalimbal labda kama arusha na kilimanjaro watakuwa na nchi yao pekee tofaut na tz hii ILA UKWELI UNAUMA
 
Back
Top Bottom