CHADEMA mtafukuza wangapi? Tazameni mlipojikwaa na sio mlipoanguka

Kama wanafika bei utawalazimisha kuvunja katiba ya chama. Wasaliti hawana nafasi popote duniani
 
Walitoa sababu na wakaomba muda hiyo ya kuomba muda mlizingatia??? Mnalaumu kukanyagwa katiba ya nchi lakini mnaona sawa kusiginwa katiba ya chadema. Duu SACCoS sheeeda
Kwahiyo walitakiwa wasubiriwe ili kusikilizwa? Walipewa nafasi hawakutaka kuitumia wakala kibano.Pale bustani ya Eden pamoja na kwamba Adam alijua ametenda kosa lakini alipoitwa alijitokeza mara moja.Hata wangesikilizwa bado isingesaidia kitu.Ninachoshangaa nikwanini hawajakamatwa kwa kughushi nyaraka na kuudanganya umma.CCM walimsikiliza Membe na bado wakamfukuza.
 
CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA

Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma za usaliti dhidi ya chama kwamba waliamua kwenda kuapa bila kupata bila Baraka za chama.

Orodha ya Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliofukuzwa kwa kisingizio cha kusaliti chama ni Ndefu mno kuanzia kwa Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba, David Silinde, Anthony Komu na Wilfred Rwakatare na sasa Halima na Wenzake (18)

Swali la kujiuliza ni CHADEMA itafukuza wangapi? busara inaitaka CHADEMA kutazama inapojikwaa sio inapoangukia! Kama inaamini wanachama na viongozi ni wasaliti, kinapaswa kujiuliza kwanini kinasalitiwa?

Ukitazama kwa jicho la tatu, fukaza fukaza ya wanachama na viongozi ndani ya CHADEMA ni matokeo ya kukosekana kwa Demokrasia ya Ndani, Uzalendo na Udikteta wa Mwenyekiti wa milele wa chama hicho FREEMAN MBOWE.

Miongoni mwa Wanachama waliofukuzwa kwa sababu ya kukosekana kwa Demokrasia ndani ya CHADEMA ni Zitto ambae umma ulidanganywa alifukuzwa kwa kukisaliti chama, ukweli ni kwamba alifukuzwa baada ya kuonesha dhamira ya dhati ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho hivyo kabla hajatimiza azma yake akashughulikiwa.

Kufukuzwa kwa Mdee na Wenzake ni uthibitisho wa kukosekana kwa Uzalendo, ubinafsi sanjari na mfumo dume ndani ya CHADEMA, Mbowe na Kamati Kuu iliyosheheni Wanaume, baada ya kukosa ubunge imeamua kuwaadhibu wabunge hao kwa kuwafukuza, yaani ‘Bora wakose wote’

Tathmini ya Mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake kwa upande wa vyama siasa nchini CCM imekuwa kinara ikilinganishwa na upinzani, imechukua hatua madhubuti kwa kuwapa nafasi mbalimbali za uongozi wa kitaifa mathalani imemteua Naibu Spika na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Wanamke ambao ni Tulia Ackson na Samia Suluhu mtawalia.

Kwa kuzingatia Tanzania ni nchi ya Demokrasia ya vyama vingi, inahitaji vyama vya upinzani imara vinavyoweza kutoa mchango katika kuleta maendeleo, ni kiu ya wapenda Demokrasia kuona CHADEMA inatumia muda mwingi kushughulikia kiini cha matatizo yanayokikabili hasa ya kukosekana kwa Demokrasiaya ndani, Uzalendo, Mfumo dume na ubinfsi ili kiweze kutimiza wajibu wake wa kikatiba.
Chadema ni imani. Chama kipo kwenye mioyo ya watu. Chadema imevuka hatua zote za kuuwawa na wafilisti wenye mamlaka. Viongozi watafungwa, wanachama watafungwa na kupotezwa. Lakini chama kitasimama imara. Chadema imevuka vikwazo vyote vigumu. Chadema ni mabadilko na uhuru wa kweli

Ndugai mmoja ni sawa na headless chicken
 
Kufukuza kuwe na sababu.hata wewe unaona kuwa chadema kiundani kunatatizo
Chadema ni imani. Chama kipo kwenye mioyo ya watu. Chadema imevuka hatua zote za kuuwawa na wafilisti wenye mamlaka. Viongozi watafungwa, wanachama watafungwa na kupotezwa. Lakini chama kitasimama imara. Chadema imevuka vikwazo vyote vigumu. Chadema ni mabadilko na uhuru wa kweli

Ndugai mmoja ni sawa na headless chicken
 
Sababu iko wazi acha kuandika propaganda.Chama hakitambui matokeo ya uchaguzi na msimamo ni kutoshirikiana na waliovuruga uchaguzi, chama hakijapeleka majina ya wabunge wa viti maalum .Halima na wenzake wamekaidi msimamo na kujipeleka kuapishwa na spika wa bunge lililotokana na uchaguzi uliolalamikiwa.

Kamati kuu ikawaita ili iwasikilize kwanini walikiuka misimamo ya chama wao wakakataa kuitikia wito.Ungeshauri chama kifanye nini zaidi ya kuwatimua?
Ikiwa chadema haitambui uchaguzi uliopita haipaswi pia kulitambua bunge hili ambalo ni zao la huo uchaguzi. Hivyo ikiwa kuna watu wake wowote walioenda huko bungeni ilipaswa kutafsiriwa kuwa sawa tu na kuwa wamekwenda sokoni. Chadema haikupaswa kuwa na maslahi ya aina yoyote ile na hilo bunge. Kuwazuia kwenda kunaonesha chadema wanalitambua bunge ambalo ni zao la uchaguzi wasioutambua!
 
CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA

Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma za usaliti dhidi ya chama kwamba waliamua kwenda kuapa bila kupata bila Baraka za chama.

Orodha ya Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliofukuzwa kwa kisingizio cha kusaliti chama ni Ndefu mno kuanzia kwa Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba, David Silinde, Anthony Komu na Wilfred Rwakatare na sasa Halima na Wenzake (18)

Swali la kujiuliza ni CHADEMA itafukuza wangapi? busara inaitaka CHADEMA kutazama inapojikwaa sio inapoangukia! Kama inaamini wanachama na viongozi ni wasaliti, kinapaswa kujiuliza kwanini kinasalitiwa?

Ukitazama kwa jicho la tatu, fukaza fukaza ya wanachama na viongozi ndani ya CHADEMA ni matokeo ya kukosekana kwa Demokrasia ya Ndani, Uzalendo na Udikteta wa Mwenyekiti wa milele wa chama hicho FREEMAN MBOWE.

Miongoni mwa Wanachama waliofukuzwa kwa sababu ya kukosekana kwa Demokrasia ndani ya CHADEMA ni Zitto ambae umma ulidanganywa alifukuzwa kwa kukisaliti chama, ukweli ni kwamba alifukuzwa baada ya kuonesha dhamira ya dhati ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho hivyo kabla hajatimiza azma yake akashughulikiwa.

Kufukuzwa kwa Mdee na Wenzake ni uthibitisho wa kukosekana kwa Uzalendo, ubinafsi sanjari na mfumo dume ndani ya CHADEMA, Mbowe na Kamati Kuu iliyosheheni Wanaume, baada ya kukosa ubunge imeamua kuwaadhibu wabunge hao kwa kuwafukuza, yaani ‘Bora wakose wote’

Tathmini ya Mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake kwa upande wa vyama siasa nchini CCM imekuwa kinara ikilinganishwa na upinzani, imechukua hatua madhubuti kwa kuwapa nafasi mbalimbali za uongozi wa kitaifa mathalani imemteua Naibu Spika na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Wanamke ambao ni Tulia Ackson na Samia Suluhu mtawalia.

Kwa kuzingatia Tanzania ni nchi ya Demokrasia ya vyama vingi, inahitaji vyama vya upinzani imara vinavyoweza kutoa mchango katika kuleta maendeleo, ni kiu ya wapenda Demokrasia kuona CHADEMA inatumia muda mwingi kushughulikia kiini cha matatizo yanayokikabili hasa ya kukosekana kwa Demokrasiaya ndani, Uzalendo, Mfumo dume na ubinfsi ili kiweze kutimiza wajibu wake wa kikatiba.
Wewe bakia kwako kuliko kuwa na democrasia wengine waachie yakwao.
 
Katika ujenzi wa taifa na uchumi ,nguvu kazi yeyote inahitajika.Katika kipindi cha miaka kama 5 iliyopita kuna mbinu kadhaa zimekuwa zikitumiwa na serikali kupitia DPP,POLISI na mahakama kukamua raia kUpitia kesi za uhujumu uchumi. Usahihi na ufanisi wa mbinu hiyo sijui ni kwa kiwango gani.

SWALI; Unadhani serikali itakamata,kushitaki na kurubuni "toba" kwa wangapi ili kupata fedha au kurekebisha waovu hao,kuna tija na athari zipi kiuchumi,kisiasa na kijamii? Huoni kama tatizo kama ulivyoona tatizo kwa timua timua kwa CDM?
 
Mataga hamtoacha kuweweseka

Back
Top Bottom