CHADEMA msituchokoze

Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.

NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Futa machozi basi!
 
Fanya rejea ya leo ya Mh Mwigulu.. Kisha tulia chini.

Sawa!
 
Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.

NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
sisi ndio waasisi wa siasa za uana harakati ndio zetu tuliza mshono
 
Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.

NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Hapo kampeni za udiwani zimeshawalemea
 
Acheni utekaji nankulitumia jeshi la polisi msijifanye wastaarabu wakati mna roho mbaya
 
Back
Top Bottom