Futa machozi basi!Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.
NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI