CHADEMA msituchokoze

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.

NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
 
Naunga mkono hoja.
 
Kwani rais wa raia wa burundi

Anaeongelewa nimwenyekiti wa chama

Anayemuongelea pia mwenyekiti wa chama

Shida yako nin
 
Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.

NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Wekeni bunduki chini mshindane kwa hoja basi.
 
Attachments

  • VID-20170927-WA0002.mp4
    2 MB · Views: 43
  • Thanks
Reactions: BAK
Napenda kuwatangazia Chadema waache maneno ya kichochezi katika kampeni zao zinazofanyika sasa nchini. Waongee nini watafanya kama wakiaminiwa na wananchi na kupewa uongozi sio kuongelea Mambo ya Rais Wetu. Namsihi Mbowe na Genge lake waache Maneno ya Uchochezi zaidi wajikite kwenye Kampeni za kisataarabu na Sio za kiharakati.

NAWATAKIA KAMPENI NJEMA
NA ZA KISTAARABU NA SIO ZA KIHARAKATI
Unawapangia jinsi ya kuongea sio????
 
Hebu wapangie cha kusema
1.
2
3.
4.
 
Rais "wenu" huyo ni yupi hadi Chadema wamwongelee ina maana ni maarufu sana.?
 
Back
Top Bottom