CHADEMA msitake kupata huruma kwa kulihusisha JWTZ na uhalifu wa watuhumiwa walioachishwa kazi huko nyuma. Pambaneni mahakamani ili kupata haki

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa.

Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai kitaalamu ni batlle confusion, na utovu wa nidhamu.

Kwa kuwa walikuwa makomandoo na watumishi wa JWTZ basi msitumie kigezo cha kutaka kuonyesha kuwa watumishi wa JWTZ inachafuliwa kwa makomandoo kushitakiwa pamoja na Mbowe. Na hii mnalitia chumvi ili muone kama JWTZ itaingilia uhuru wa mahakama ili Mbowe aachiwe.

My take; Pambaneni mahakamani ili haki ya Mbowe ipatikane.
 
Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai kitaalamu ni batlle confusion, na utovu wa nidhamu.
tatizo hawa wanaachishwa kazi bila kupewa stahiki zao halafu suala la utomvu wa nidhamu ni kutokana na matatizo hayo ya kiafya
 
Weka ushahidi wa Chadema kulihusisha JWTZ na kesi ya Mbowe kinyume cha hivyo moderators futeni hii takataka na pigeni ban huyu mzushi. Uzushi kama huu ndiyo unakaribisha malumbano yanayoshusha hadhi ya JF.
 
Wafuasi wa Cdm na wanachama ndio Chadema yenyewe.
 
Ungekuwa ni mtu mwenye ufahamu japo kdg tu ningekushauri kitu!

Tatizo hakuna ushirika/uhusiano kati ya kichwa na mikono inayoandika ndio maana una tabia ya kuandika pumba kila uchwao!

Omba hekima na busara zikufae maishani kwani bila hivyo uzee wako utakuwa wa hovyo sana bila hivyo vitu.
 
Kimsingi mpaka sasa kuna ukweli kwamba Mbowe alikuwa na nia ovu ya kupanga na kufanya uharifu kwa kutumia ex-commandos. Inaoneka mawakili wake wanajisahau kwa kutotilia shaka nia hii badala yake kuonesha watuhumiwa "waliteswa" baada ya kukamatwa!
 
Mkuu wewe taaluma yako nini?
 
Mkuu wewe taaluma yako nini?
Huyo kiazi taaluma yake ni hii
JamiiForums-1896768696.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom