CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
Naona umetumwa kujakuchafua akilizetu ety tutaisoma wote baada ya minne kuisha ile yakisheria tutaangalia yakumuongea Kama nimitano ikitupendeza zaidi Saba kabisa
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
Hatuna mpango huo, hatutaki kuchelewesha maendeleo.
Ni kweli taarifa nzito nzito hasa za Chato na maCCM zipo ila tunewaachia mjimwambafai.
Mwisho mnajitia kitanzi nyinyi wenyewe maana maendeleo hayana vyama.
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!

CHADEMA ipi iliopo bungeni?
 
Siasa siyo uadui bwashee.

Anayewashwa ni Robert Amsterdam!
Wapinzani wametuchelewesha sana, sasa hivi muibua matatizo ya wananchi atakuwa Magufuli pekee!
Hujaona alivyo ibua shule ya Ubungo hadi watu wakahamishia vitanda site?
Halafu huyo Amsterdam achana naye, ametusababishia VISA tunakosa hivyo watoto wetu hawatasoma tena huko wala wake zetu hawaendi tena kujifungua
 
Kule kwetu tunatumia magunzi kuwashia pasi za kienyeji maana umeme haujafika au pengine umekatika. Sasa nguo zimejikunja na umeme hakuna wanaanza kutafuta magunzi wakati waliyatukana sana kipindi umeme unawaka. Sasa wasubiri tena luku ikate na hela hawana mfukoni ndo watajua umuhimu wa magunzi. Mkaa nao umepigwa ban.
Hahahahahaahha nimekuelewa kumbe kunawakati magunzi yanahitajika tunatenda kwanza halafu tunafili
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
usitegemee kutokea hilo si kwa Chadema pekee yake bali upinzani kwa ujumla. Uropokaji wa awali kwa wapinzani, ulitokana na kinga ya Mbunge kutoshitakiwa kwa anayo yaongea akiwa ndani ya Bunge nafasi ambayo sasa wameipoteza. na hata waliowahi kushitakiwa walitumia nafasi ya kuwa wabunge, kama sababu ya kutohudhuria Mahakamani ili mradi siku ziende.
Tegemeo la sasa ni wabunge machachali walioingia kwa mgongo wa Viti Maalum lakini kwa mgogoro unafukuta ndani ya vyama juu yao, sijui kama wanaweza kusimamia misimamo na maslahi ya vyama vinavyowapinga uwakilishi wao kwa vyama hivyo.
 
Nyie ibeni tu kodi zetu hamna shida, ndio raha ya nchi ya chama kimoja.
Ukilala Chadema , ukiamka Mbowe..
Utakua una ongea peke yako barabarani..
Naona kiu ya damu zetu imekua kubwa, Mnatafuta damu za CHADEMA, mmetukosa.
Hahahaahahhaaha
 
Nchi hii ni yetu sote bwashee tushirikiane kuijenga!
Bwashee kuna shida mahali japo hamtaki kuwa wakweli ktk hilo. Muda ukiwadia utawekwa wazi tu.

CCM mna shida sana. Wapinzani mliwaita kila aina ya majina kuanzia Bungeni hadi Uraiani. Mmewapiga na kuwapora Ushindi wao huku wakiwa kimya. Mmeanza kuwachokonoa kwa kuwalazimishia Ubunge wa Viti Maalum kwa nguvu. Sasa mnahitaji tena usshauri wao. Wa kazi gani wakati wao ni wapinga maendeleo??
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
Hayooooo, yamekosa wa kukaa yanawasema!! Mwaka huu mpaka mlarurane nyoko nyie! Mlizowea kuwasema wapinzani sasa wameamua kukaa kimya sijui mtafanyeje!
 
usitegemee kutokea hilo si kwa Chadema pekee yake bali upinzani kwa ujumla. Uropokaji wa awali kwa wapinzani, ulitokana na kinga ya Mbunge kutoshitakiwa kwa anayo yaongea akiwa ndani ya Bunge nafasi ambayo sasa wameipoteza. na hata waliowahi kushitakiwa walitumia nafasi ya kuwa wabunge, kama sababu ya kutohudhuria Mahakamani ili mradi siku ziende.
Tegemeo la sasa ni wabunge machachali walioingia kwa mgongo wa Viti Maalum lakini kwa mgogoro unafukuta ndani ya vyama juu yao, sijui kama wanaweza kusimamia misimamo na maslahi ya vyama vinavyowapinga uwakilishi wao kwa vyama hivyo.
Hovyo, nana anaathirika?
 
Hovyoooo! una Malaria nini!!, tunaongea athari ya kukosa vipaza sauti. Katika hili hata wewe ni muathirika!!
Nitaathirikaje wakati kwa makusudi rasmi na haramu sitakiwi kusikika. Ndiyo maana wewe na wenzio ni wa hovyo tu.
 
Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka.

Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo.

Tusisahau kuwa CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vilivyobaki havina historia ya kuikemea CCM na Serikali yake.

Maendeleo hayana vyama!
Nani aliyekwambia CCM na serikali yake ina madhaifu.

Chea ndo the akenjo.

Chama kipo safi, mafisadi wote wamekwisha wengine wamekimbilia chadema.
 
Back
Top Bottom