CHADEMA msisahau move yenu ya kwenda kufungua matawi vijijini

Jotu

JF-Expert Member
May 8, 2012
444
309
Kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi si mwanachama wa chadema na sitajiunga nacho kwa nature ya kazi yangu.lakini nakipenda chama.

Harakati za UKAWA naziunga mkono kikamilifu lakini ziende sambamba na kuongeza wanachama. Kuwe na lengo kuandikisha idadi fulani ya wanachama kwa mwaka.

Move ya Chadema kufungua matawi na kuandikisha wanachama wapya ilikuwa tishio kwa CCM. Hivi sasa Kinana and his team have copied that move.

Kuongeza wanachama hata kama ni wawili ni maendeleo makubwa sana kwa chama. Sidhani kama kwa sasa chama kinaongeza wanachama.

Mi naona mkakati wa kufungua matawi na kuongeza wanachama ni extremly important. Pamoja na ukawa shughuli hiyo iendelee kwa kutumia makamanda wengine.

Nawasilisha
 
Aisee jamaa wamejisahau, nimeona hapa Morogoro. Chademe Msingi imekufa kabisa. Uongozi wa wilaya haufanyi kazi bila ruzuku. Tabu tupu.
 
chadema hawana mpango na vijijini wao wanakula chapati mjini tu.
 
chadema ni genge la walaghai kama mnavyojua walaghai hawana nafasi vijijini wao wafanye ulaghai wao mjini ambako ndiko watu huishi kwa ujanjaujanja kama wanavyofanya chadema.
 
chadema ni genge la walaghai kama mnavyojua walaghai hawana nafasi vijijini wao wafanye ulaghai wao mjini ambako ndiko watu huishi kwa ujanjaujanja kama wanavyofanya chadema.
Hivi unasema kweli au unawachokoza tu.
 
Nilitoa ushauri kwa makamanda nategemea fedback kutoka kwao.
 
chadema ni genge la walaghai kama mnavyojua walaghai hawana nafasi vijijini wao wafanye ulaghai wao mjini ambako ndiko watu huishi kwa ujanjaujanja kama wanavyofanya chadema.

lumumba wamekusikia kachukue buk 7 zako fic maji wewe!
 
Kwanza, Katiba Mpya! Pili, Katiba Mpya! Tatu, Katiba Mpya! Nne, Katiba Mpya! Tano, Katiba Mpya! Sita, Katiba Mpya! Saba, Katiba Mpya!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom