Kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi si mwanachama wa chadema na sitajiunga nacho kwa nature ya kazi yangu.lakini nakipenda chama.
Harakati za UKAWA naziunga mkono kikamilifu lakini ziende sambamba na kuongeza wanachama. Kuwe na lengo kuandikisha idadi fulani ya wanachama kwa mwaka.
Move ya Chadema kufungua matawi na kuandikisha wanachama wapya ilikuwa tishio kwa CCM. Hivi sasa Kinana and his team have copied that move.
Kuongeza wanachama hata kama ni wawili ni maendeleo makubwa sana kwa chama. Sidhani kama kwa sasa chama kinaongeza wanachama.
Mi naona mkakati wa kufungua matawi na kuongeza wanachama ni extremly important. Pamoja na ukawa shughuli hiyo iendelee kwa kutumia makamanda wengine.
Nawasilisha