CHADEMA msisahau kwamba Spika huchaguliwa na kamati kuu ya CCM!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Nilitegemea wabunge wa CHADEMA katika zama hizi wawe wanakuja na hoja zenye mashiko na ukweli. CHADEMA wanajua kimsingi kabisa Spika wa bunge katika mazingira ya sasa anachaguliwa/ anateuliwa na kamati kuu ya CCM na hivyo analazimika kwanza kukitii chama chake.

Hivyo anapoibuka mbunge na kuanza kulalamika ooh spika aliomba majina ya wajumbe wa kamati kutoka kwa mkuu wa mhimili fulani, wanapaswa kujiuliza kwanza huyo mkuu ana cheo gani katika chama.

Hakuna tatizo lolote kwa kiongozi mteule wa chama kuomba ushauri kwa kiongozi wa juu yake kichama, hata yule Zitto inawezekana kabisa mara kadhaa huombwa ushauri na wanachama wake wanaohudumu serikalini mfano Anna na Kitila hiyo siyo dhambi.

Ahsante!
 
UNAWASHWAWASHWA
 
Tz na siasa,
Huku ni kupatwa kwa kuwashwa washwa njano ya sera ya magufoolisticationization
 
Nilitegemea wabunge wa CHADEMA katika zama hizi wawe wanakuja na hoja zenye mashiko na ukweli. CHADEMA wanajua kimsingi kabisa Spika wa bunge katika mazingira ya sasa anachaguliwa/ anateuliwa na kamati kuu ya CCM na hivyo analazimika kwanza kukitii chama chake.

Hivyo anapoibuka mbunge na kuanza kulalamika ooh spika aliomba majina ya wajumbe wa kamati kutoka kwa mkuu wa mhimili fulani, wanapaswa kujiuliza kwanza huyo mkuu ana cheo gani katika chama.

Hakuna tatizo lolote kwa kiongozi mteule wa chama kuomba ushauri kwa kiongozi wa juu yake kichama, hata yule Zitto inawezekana kabisa mara kadhaa huombwa ushauri na wanachama wake wanaohudumu serikalini mfano Anna na Kitila hiyo siyo dhambi.

Ahsante!
Ugolo nn mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom