Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Kwa yaliyotokea ni bora kutafuta haki yenu mahakamani au mkaacha kabisa kuwasilisha majina mengine ili ikiwezekana wabadili kanuni na wapeleke watu wao au nafasi hizo wawape ACT-Wazalendo.
Kupeleka majina mengine ni kubariki yote yaliyofanyika Bungeni jana na pia ni kuweka precedence mbaya na isiyokubalika kamwe.
Ni bora kukosa uwakilishi kuliko kuburuzwa na ni muhimu zaidi kulinda heshima ya chama.
Mbona Nape kapoteza uwaziri kulinda heshima yake na maisha yanaenda?
CHADEMA mtashindwa nini?