CHADEMA msijali tutawapa roho ya CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA msijali tutawapa roho ya CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by akashube, Nov 17, 2010.

 1. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ni wazi kabisa sasa kuwa CUF ni chama cha kidini na kihafidhina. Lengo la CUF ni kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani visivyo na udini na hasa visivyo vya dini yao vinakufa.

  Hivi sasa ukitaka ku-shoot dudu mla watu(CCM) unakutana na kikwazo kinaitwa CUF.

  USHAURI WA KIMAPAMBANO.

  CUF ni pemba +baadhi ya wanadini fulani. CHADEMA concetrate hapa kisiasa na mimi upande wangu nitafanya kazi takatifu ya siri tubomoe hawa manyang'au.

  Hapa ndio kwenye roho ya CUF.

  Jeshi langu limeshaanza kazi tayari.
   
 2. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vema, kwa kufanya hivyo utajiwekea hazina mbinguni na duniani.,
  maana utakuwa umeondoa Idara ndani ya CCM ambayo imekuwa kikwazo cha maendeleo kwa kujibatiza eti ni chama cha siasa (CUF).
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  safi sana,i hope utashinda
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Nov 17, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CHADEMA haiwezi kupewa roho ya CUF, bali itaku na roho yake, imesimama bila kutetereka, chenyewe ndiyo chama cha siasa tofauti na vyama vingine vyote. Hapa hakuna cha Eliya wala Elisha.
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa upande wa zanzibar kafu wataendelea kutamalaki kwani ndiyo hao hao. Lakini kwa huku bara wasahau. Udini kwenye chama hata kipofu anauona.

  Chadema kimeweza kuwaonyesha waTZ kwamba siyo cha kikabila wala kidini. Kimekula majimbo kuanzia mashariki hadi magharibi na kaskazini hadi kusini. Na bado kinasonga mbele. Kama ingekuwa ni muziki basi hiyo ni 'tune' tu. Muziki wenyewe utasikika 2015 wakati ambapo hata jimbo la chalinze na ya mikoa ya lindi na mtwara yatakaponyakuliwa.
   
 6. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mungi hujaelewa somo mkuu, tunaitoa roho ya CUF na kuichoma mishkaki. Hakutakuwa na CUF tena nchi hii. Si bara wala huko kwenye shamba la karafuu mnaloliita Zanzibar.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Nov 17, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,602
  Likes Received: 3,894
  Trophy Points: 280
  siku katiba ikibadilishwa na tukaamua tuwe tunaunda serikali ya mseto then chadema na ccm watakuwa wameungana!!!!! guys you need to rethink these posts, we need something like what happened in isles, chadema where supposed to have at least three ministries to lead on in the comming cabinet!!! haya mawazo ya mwaka 47 yanawawinda
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nani kakuuliza kwenye red? dhamira yako tu inakusuta. Niukweli uliowazi chadema ni chama cha kidini, kikabila na kifamilia. Mbona ushahidi upo mwingi tu?
  Angalia tu mfano wa uteuzi wa wabungen
  ndensamburo-Lucy and Grece kihwelu
  slaa-rose kamili
  tindu lissu-christina lissu etc... mengine malizia mwenyewe sijakusa hata kwa mwenyekiti (mmiliki wa danguro (bilcanas) pale dar.
  Nakupa home work.
  1. kwani chadema walishinda sehemu za mijini ambako kuna wakristo wengi na walipiga kura kama vipofu hata kuwapatia ubumge watu ambao hawaeleweki kama lets say sugu kwa kulinda heshima ya padre?
  2. kwa nini sehemu za waislam hawakuwa na nguvu zaidi ya wagombea wa sehemu husika na hata walipomfukuza kafulila bado slaa hakuwa na nguvu na kafulila kupata ubunge kupitia chama kingine?
  3. do you think chadema this kinyonga stile wanaweza kuwa na influence in muslim areas ambano ndo majority voter wa nchi hii?
  Lastly, time will tell.
  Tusionane next time.
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  jifunze kutoka maneno ya lipumba, alijifananisha na mlima Dr Slaa eti kichuguu,
  inawezeka lipumba anaweza kufaulu darasani, lkini kubadili nadharia kuwa vitendo hawezi kabisa.
  idadi ya kura alizopata ni chache san kusema lipumba unaweza kutokea wakati watanganyika wakajaribu kufikiri kumpa hii nchi, asahau.
  kwani udini umemkolea yeye na chama chake.
  chaguzi zote wa kugombea urais ni yeye tu, ana maana 'zidumu fikra za mwenyekiti.
   
 10. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mbatia, mrema, cheyo kafulila wote mnawapiga vita wao ni dini gani ?

  hamuachi nyny ?


  ukiogopa kupambana na mapungufu yako daima husongi mbele
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!Kwa mtazamo wangu hayo ni mawazo mgando!lengo ni kuiondoa kabisa CCM madarakani,ili kibaki kuwa chama cha upinzani!!
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,602
  Likes Received: 3,894
  Trophy Points: 280
  Then chadema waingie madarakani wawe kama ccm!!!! you must be kidding, unawaamini kiasi gani? ask Kenyans
   
Loading...