CHADEMA msihuzunike kwa matokeo ya Igunga

Malboro

Member
Jun 24, 2011
23
11
Uchaguzi umemalizika Igunga na matokeo ndio hayo. Mimi nashauri CDM ijiandae kwa ajili ya 2015. Naamini Igunga itakuwa kama ilivyokuwa Biharamulo. Maandalizi pia yafanyike kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwani ni sehemu muhimu ya kuelekea 2015. Nawasilisha wana jf.
 
i

Sasa hivi CCM wataandaa fedha za kutengeneza mgawanyiko ndani ya CDM,ila sidhan kama wataweza.Maadhimisho ya Miaka Hamsini ya Uhuru CDM iyatumie vyema kuelimisha jamii hasa hasa vijijini kuwa hamna kilichofanyika,zipigwe picha za watoto wa shule wanaokaa chini,wanaosomea chini ya mti,nyumba za tembe,maisha yaliyokuwepo na tunapoelekea ili wananchi watambue kuwa ni maadhimisho ya miaka 50 ya "UHUNI"

CDM uchaguzi wa serikali za mitaa mtanshinda ushindi wa kimbunga,tupo pamoja pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
tumeshawapima hawa ccm hawana nguvu tena, tutakuwa nao sambasamba.
 
Hata hivyo ni hatua kubwa sana imefikiwa na CHADEMA. Ni ukweli kuwa CCM wanakuna vichwa maana walitumia nguvu kubwa sana, serikali na Bakwata vyote vinachangia Chadema
 
Back
Top Bottom