CHADEMA msifadhaike enyi kundi dogo

2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,331
2,000
Japo Kuna weza kuwepo hofu ya kusalitiana ndani ya CdM hasa baada ya kuhama binadamu aliyewahamisha wana CCM wengi zaidi Katika Historia ya Tanzania akatimka nao kwenda upinzani.

Hofu yangu, Lowasa haondokagi peke yake, anaweza kuondoka na mwenyekiti wangu FREEMAN MBOWE na kuzua taharuki isiyokifani. Maana naskia Mheshimiwa Mbowe ameshaachiwa kwa dhamana.

Hata hivyo, najua Hofu ya namna hii haiwaachi salama walio ndani yaCCM na vyama vingine kwa ujio wa wanachama wapya.

"Msifadhaike Enyi Kundi Dogo, cDM haijadhohofu. Ni upepo tu.

In Fwakti, Zipo Taasisi na makundi Dhaifu kuliko hata CDM, nayo Ni Bunge, Mahakama, TLS, ACT mzalendo, CUF, Bodi ya koroshow, BOT, Media, Katiba. ATCL, SHILINGI ya Tanzania Dhidi ya Dola.

lakini pamoja na kudhohofu kwao Bado wanajipa Moyo kua wapo vizuri sana.
 

Chukwuemeka Takpo

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
13,615
2,000
Amemaliza kazi aliyotumwa kufanya😁😁😁 Ila ni funzo Kwa vyama vya upinzani kuzalisha vijana wao watakaokuwa na uchungu na Siyo kuokoteza okoteza tu na kuwaamini Watu wenye nia fulani.Mbowe na watu wake walifanya kosa kubwa sana,Ni Sawa na kujenga nyumba halafu bull doza linabomoa dk 5 ,wakati umejenga Kwa muongo mzima
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,995
2,000
Ni wakati muafaka wa CDM kujitathmini hasa kuhusu ujio wa EL na walivyompoteza Dr Yule na washikamane huku wakiwaeleza watanzania CDM ina simamia nini. Hapa kati sisi ambao sio wanachama lakini tunaona umuhimu wa upinzani imara tuishindwa kujua CDM ina simamia nini kwa kumsikiliza na kumuangalia EL. Nahitaji kujua wanasimamia nini ili niweze kuamua kama kura yangu niwape wao au nibaki nayo mfukoni 2020 sio mbali.
 

Bhuluba

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
617
500
hahahahahah hakuna rafiki wa kudumu katika siasa lakini pia hakuna adui wa kudumu katika siasa , Lowasa ameondoka wakati ambapo Upinzani Hawamuhtaji sana. anaweza ondoka peke yake
 

sikongefdc

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,231
2,000
Twende na Lissu 2020 njia nyeupe Lowasa kuisafisha bila kujua .Mungu mkubwa swala ni kujipanga tu upepo wa ushindi upo cdm ,washindwe tu kutumia hii opportunity ,Lissu maliza kampeni kimataifa njoo ndani njia nyeupe .
Kampeni apige huko huko kwa mabeberu ndio watampigia kura 2020, akija bongo ana kesi za kujibu ambazo kifungo chake ni mpaka 2023. Magu mpaka 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 

2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,331
2,000
Ni faraja kubwa kwetu sisi Chadema kwa mzee Lowasa kuondoka, tunamtakia maisha mema huko kwao.
Hakika NI KWELI, wakati huu CCM inamuhitaji Lowasa zaidi kuliko anavyohitajika ndani ya CDM. CDM ya Sasa inawaza zaidi Tundu Lisu apewe kijiti.

Nakumbuka kipindi Cha Nyuma, Bwana Mkubwa alimsihi Lowasa Mara kadhaa alipokutana naye, kwamba Arudi nyumbani kwani CCM kinakufa.
 

Bushloiaz

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
629
1,000
Ni wakati muafaka wa CDM kujitathmini hasa kuhusu ujio wa EL na walivyompoteza Dr Yule na washikamane huku wakiwaeleza watanzania CDM ina simamia nini. Hapa kati sisi ambao sio wanachama lakini tunaona umuhimu wa upinzani imara tuishindwa kujua CDM ina simamia nini kwa kumsikiliza na kumuangalia EL. Nahitaji kujua wanasimamia nini ili niweze kuamua kama kura yangu niwape wao au nibaki nayo mfukoni 2020 sio mbali.
Hivi wewe unaona cdm ilimpoteza Dr??
Hebu jiulize aina ya watu wanaopewa ubalozi ni watu gani.guys it's high time you wake up upinzani ni full "system"
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,995
2,000
Hivi wewe unaona cdm ilimpoteza Dr??
Hebu jiulize aina ya watu wanaopewa ubalozi ni watu gani.guys it's high time you wake up upinzani ni full "system"
Hakuna ubishi CDM wamempoteza Dr na walitaka abaki nao. Ni wajibu wa CDM kujua walimpotezaje na wajitafakari ili kujifunza kutokana na hilo. Mimi sijalala-CDM watajilindaje kupoteza watu kama Dr kama hawatajithamini? Kukitokea kitu kika kuathiri kwa njia moja au nyingine tathmini ni kitu muhimu kiutawala-ni swala la good governance tu.
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,413
2,000
Mleta mada vipi wewee? Wasifadhaike wakati ATM yao imeondoka wewe vipi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom