Chadema msichukie CCM, Wachukieni Watanzania kwa kutowaamini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Sisi Watanzania ndiyo tunaiichagua CCM, ndiyo tunayoipa madaraka makubwa ya kutuongoza kwa kuipa Wabunge wengi, hivyo chuki yenu ielekezeeni kwetu, hakuna kosa CCM ililofanya imetuomba kura tu tumeipa hivyo kama ni chuki tuchukieni sisi kwa kutowaamini, ...
 
Watanzania wanaiamini sana CDM (na UKAWA kwa ujumla). Tatlzo lililopo ni: CCM wezi na wanatumia dola kuwatisha wananchi.
 
Bila shaka hapo lumumba wamefirisika...kutoka buku 2 hadi kufikia 1000....huu uzi ulionzisha akiuona mpolepole kazi unayo..unawezarudisha hiyo buku aliyokupa.
 
Sisi Watanzania ndiyo tunaiichagua CCM, ndiyo tunayoipa madaraka makubwa ya kutuongoza kwa kuipa Wabunge wengi, hivyo chuki yenu ielekezeeni kwetu, hakuna kosa CCM ililofanya imetuomba kura tu tumeipa hivyo kama ni chuki tuchukieni sisi kwa kutowaamini, ...

Tatizo lako hujaelewa jinsi uchaguzi wa tanzania unavyoendeshwa. watu wengi wangi wanadhani watanzania wanafanya uchaguzi wa kuchagua Rais na wabunge, la hasha. uchaguzi watanzaia unafanywa na taasisi fulani, kwa hiyo usiwalaumu watanzania
 
Kinachosikitisha ni kwamba CHADEMA kwa sasa ni chama ambacho kimegubikwa na KASHFA nyingi sana na ni jambo la kushangaza maana kama CHAMA ambacho hata kaijapewa NCHI kimegubikwa na KASHFA CHAFU kiasi hiki ni nani hasa ndani ya NCHI HII anaweza kukiamini???na watapata MUDA upi wa kupiga KAMPENI ya kuitoa CCM madarakani au kutangaza SERA zao kwa wanachi ili hali huo muda wa kutangaza sera zao wao wanatumia kujibu KASHFA....afu wanashindwa UCHAGUZI wanasingiazia kuibiwa KURA....ili hali wao wana mianya mingi ya kuwafanya washindwe kwenye uchaguzi.....MTASUBIRI SANA KUITOA CCM madarakani.....
 
Sisi Watanzania ndiyo tunaiichagua CCM, ndiyo tunayoipa madaraka makubwa ya kutuongoza kwa kuipa Wabunge wengi, hivyo chuki yenu ielekezeeni kwetu, hakuna kosa CCM ililofanya imetuomba kura tu tumeipa hivyo kama ni chuki tuchukieni sisi kwa kutowaamini, ...
Najaribu kuwaza kama kweli CCM ingeshinda kwa kura ingekuwaje...bao la mkono kelele zote hivi whatt if mngeshinda kihalali? Dhambi hii imfuate Lubuva Na Jecha hadi kizazi chao cha kumi!
 
Kinachosikitisha ni kwamba CHADEMA kwa sasa ni chama ambacho kimegubikwa na KASHFA nyingi sana na ni jambo la kushangaza maana kama CHAMA ambacho hata kaijapewa NCHI kimegubikwa na KASHFA CHAFU kiasi hiki ni nani hasa ndani ya NCHI HII anaweza kukiamini???na watapata MUDA upi wa kupiga KAMPENI ya kuitoa CCM madarakani au kutangaza SERA zao kwa wanachi ili hali huo muda wa kutangaza sera zao wao wanatumia kujibu KASHFA....afu wanashindwa UCHAGUZI wanasingiazia kuibiwa KURA....ili hali wao wana mianya mingi ya kuwafanya washindwe kwenye uchaguzi.....MTASUBIRI SANA KUITOA CCM madarakani.....

Mnufaika endelea kujitoa ufahamu tu, Zama za Mwalimu zilipita kitambo,ni idadi ndogo tu ya Watanzania wasiojielewa ambao ndio mtaji wa chamachenu kibovu!
 
Sisi Watanzania ndiyo tunaiichagua CCM, ndiyo tunayoipa madaraka makubwa ya kutuongoza kwa kuipa Wabunge wengi, hivyo chuki yenu ielekezeeni kwetu, hakuna kosa CCM ililofanya imetuomba kura tu tumeipa hivyo kama ni chuki tuchukieni sisi kwa kutowaamini, ...
Na hawaaminiki kwa kuwa ni Mafisadi, wezi na Makuwadi wa Mafisadi wa CCM.
 
Sisi Watanzania ndiyo tunaiichagua CCM, ndiyo tunayoipa madaraka makubwa ya kutuongoza kwa kuipa Wabunge wengi, hivyo chuki yenu ielekezeeni kwetu, hakuna kosa CCM ililofanya imetuomba kura tu tumeipa hivyo kama ni chuki tuchukieni sisi kwa kutowaamini, ...
Wananchi wamewaamini kwa bao la mkono?
 
Just try to appreciate kazi iliyofanywa na kina Jecha na Lubuva
 
Chadema ni Kikundi cha Kampeni cha CCM ndio sababu kila Uchaguzi wa Rais huwa wanatuletea Wagombea wenye walakini ili kusaidia CCM ishinde

2010 walituletea Padri na Katibu Mstaafu wa Baraza la Maaskof ambae pia Ana Kashfa ya kupora Mke wa Mtu

2015 wakatuletea Mtu walietutangazia sio tu Fisadi Bali Fisadi Papa na Jina lake lilikuwemo kwny orodha ya Watu 11 Mafisadi zaid kuwahi kutokea hapa Nchini na wakawa wanaionya CCM kutokumteua kuwa Mgombea Urais!
 
Back
Top Bottom