Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 51
kibunango wapi brazamen?mwambie kabla ajaianza weekend akumbuke basi kuwapa pole wafiwa
Zenj kuna tende tu... hayo mataputapu na mazagazaga mengine mwisho wake ni ChumbeOngeza kindi, Chimpumu na baba yao komoni
sawa kamanda...kibunango wapi brazamen?mwambie kabla ajaianza weekend akumbuke basi kuwapa pole wafiwa
...mnashare hadi siginecha
tatizo mtu wa pwani, mgumu kuelewa,mwepesi kusahau. Kijana kabla ujaongea jaribu kufanya utafiti, katika source mbalimbali za habari,siyo unakurupuka tu kama Karamaghi. Unataka wanaotoa rambirambi wabandikwe kwenye mabango? Mbona raia masikini wakifa hatusikii unasema? au mzee ni wa kizazi cha karamaghi?