CHADEMA mpya ya Mwenyekiti Halima Mdee kuzaliwa miezi mitatu ijayo ndani ya CHADEMA ya sasa

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
CHADEMA MPYA YA MWENYEKITI HALIMA MDEE KUZALIWA MIEZI MITATU IJAYO NDANI YA CHADEMA YA SASA.

Leo 22:20hrs 28/11/2020

Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist Party of China, itaisha kwa Chadema Mpya kuzaliwa ndani ya Chadema ya sasa baada ya mitizamo ya kimaslahi baina ya vigogo na vingunge wa Chama hicho kugongana,hilo limejionesha baada ya Wabunge 19 kuvuliwa uanachama wa Chadema kwa sababu hawajatokea kwenye kuhojiwa na kamati kuu na siyo sababu ya ubunge wa viti maalum,hilo sasa ndio kaa la moto,baada ya Kamati Kuu kukosa hoja ya wakaamua kutumia kutofika kwa Wabunge 19 iwe sababu ya kuwavua uanachama,Wabunge 19 wameambiwa wanaweza kuandika barua ya kuomba radhi ili warejeshewe uanachama wao,Wabunge 19 wameombwa ndani ya siku 30 wakate rufaa kwa kupinga hukumu ya kamati kuu kwenye baraza kuu la chadema,

Sasa Chadema iliwaandikia barua mara mbili kuwabembeleza wafike kuhojiwa na kamati kuu pia kamati kuu ililazimika kubadili eneo la kuwahoji kutoka makao makuu ya chadema hadi kwenye hoteli ya kitalii ili kulinda usalama wao,hatujui barua zile zilifika kwao au la,Lakini niulize kidogo,Mtu ambaye ni msaliti unaweza kumbembeleza kwa kumwandikia barua mbili na hadi kuingia gharama za kukodi hoteli ya kifahari ili kumuhoji?Ni vipi msaliti aruhusiwe kuandika barua ya kuomba radhi tu na atarudishiwa uanachama wake akifanya hivyo.

Chadema ya Mwenyekiti Mbowe imekubali kupoteza msingi wa kwanza wa chama ambao ni watu kama ilivyowapoteza Zitto Kabwe,Prof Kitila Mkumbo,Dr Wilbroad Slaa na Profesa Mashinji kwa kutaja wachache tu,
Hivi hawaoni CCM ilivyodili na wakina Nape,Mzee Makamba na Katibu Kinana? Kwanini hawajifunzi jinsi ya kutatua matatizo yao kwa wakati,kulikuwa na haraka gani ya kufanya maamuzi makubwa kama haya ndani ya masaa 72,Kwanini kila uchaguzi au kwenye michakato ya uongozi ndani ya Chadema inaondoka na watu!? Nani mwenye maslahi na hili!?

Chadema ya Mwenyekiti Mbowe ili ifike mbali ni lazima ijijengee uwezo wa kumudu,kutunza na kukaa na watu wanavutia wanachama wake wa aina zote, Kuna msemo wa pwani usemao “Mtu si mbwa” leo hii wanapoteza wanachama 19 ambao wengi wao ni Viongozi wa juu kabisa wa baraza la Wanawake wa Chadema na wanaushawishi mkubwa kwenye Ngome ya wanawake ya Chadema na ndio hao waliovutia Wanawake wengi kujiunga Chadema,

Chadema ya Mwenyekiti Mboweimekubali kucheza ngoma ya Tindu Lissu anayeongozwa na mabwana zake uko Ubelgiji, ngoma ya wazungu ambao walimuua Patrice Lumumba na kumtia kwenye acidi hadi leo kaburi lake halionekani,Chadema imesahau shughuli yao! Tokea M4C na Operation Sangara izimike na Daktari Wilbroad Slaa hakuna jambo la kimkakati la kujenga chama au kukuza chama limefanyika zaidi Chadems imekuwa ikipinga na ku-react kwa nini Serikali inajenga Bwawa la Umeme la Rufiji, badala ya ku-ACT katika mipango na mikakati yake,Itachukua muda sana kwa Chadema kujenga watu wengine kulikoni ingepatikana suluhu ya kunufaisha chama zaidi.

Kuwavua vyeo vyao waliokuwa viongozi kwenye Baraza la Wanawake la Chadema Halima Mdee,Grace Tendega,Ester Matiko,Cecilia Pareso,Ester Bulaya,Agnesta Kaiza,Nusrat Hanje,Jesca Kishoa,Hawa Mwaifunga,Tunza Malapo,Felister Njau,Naghenjwa Kaboyoka,Sophia Mwakagenda,Kunti Majala,Stela Fiayo,Anatropia Theonest,Salome Makamba,Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed kunakwenda kuunda Chadema Mpya ndani ya Chadema,

Kamati kuu imeazimia kuwavua uanachama wote Wabunge 19 hilo halitawezekana hasa tukirejea kesi zilizopita kama nitakavyozielezea hapa chini,Hii ya ni process ndio maana Mwenyekiti amesema kamati imekubali kuwavua lakini kuna hatua za kufuata,rejea kesi ya Bernard Membe wakati CCM ikimvua uanachama,kamati kuu ya CCM ilikaa zaidi ya Mara Mbili ndio uamuzi ukatoka,

Tuanze na Mh Freeman Mbowe kudai taratibu na kanuni za kudumu za bunge zimekiukwa na kwamba mbunge anaapishwa ndani ya bunge pekee wakati akijua anasema uongo wa wazi kabisa maana yeye pamoja na wabunge wengine walishiriki kubadilisha kanuni Agosti 2020 (Rejea TANGAZO LA SERIKALI NA. 626 la tarehe 7/8/2020) na mabadiliko ni haya:
(2) Bila ya kujali masharti ya fasili ya
(1), endapo Mbunge atachaguliwa au kuteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu, Spika atamwapisha katika: (a) kikao chochote cha Bunge iwapo kuna Mkutano wa Bunge; au (b) eneo litakalopangwa na Spika iwapo hakuna Mkutano wa Bunge unaoendelea na baadaye Spika atatoa taarifa Bungeni kwenye Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Bunge unaofuata.

(3) Wakati wa kuapa, Mbunge anayeamini kuwa kuna Mungu, atalazimika kushika Biblia au Kuran au kitabu kingine kitakatifu kinachotambuliwa na imani ya dini yake.

(4) Iwapo Mbunge haamini kuwa kuna Mungu, hatashika Biblia au Kuran au kitabu chochote kitakatifu au kutamka maneno, “Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie,” bali atalazimika kuinua mkono wake wa kuume juu.

(5) Kiapo cha uaminifu cha Mbunge kitakuwa na maneno yafuatayo: “Mimi, ………..., naapa kwamba, nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwamba nitaihifadhi, nitailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Sheria iliyowekwa. Ewe Mwenyezi Mungu, nisaidie.

-Rejea Kesi ya Zito Kabwe kufukuzwa Chadema 2015.

Bunge lipatapo taarifa rasmi ya Mbunge kuvuliwa uanachama na Ubunge,mfano Chadema kumvua uanachama Zitto,Bunge hilo litafanya uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili mbunge ndipo litoe uamuzi,Niwakumbushe tu sakata la mbunge wa Bunge kuvuliwa uanachama na chama chake si la kwanza, kwani tayari kuna wabunge wengi waliovuliwa uanachama na vyama vyao lakini Bunge halikuwavua uanachama wake baada ya kumaliza uchunguzi wake.Utaratibu ulivyo, chama huliandikia Bunge kuhusu kumvua uanachama mbunge na Bunge kabla ya uamuzi wowote hufuatilia kwanza sababu za kuvuliwa uanachama huo, ili kujiridhisha kama zilikuwa halali au.

Bunge huwasiliana na Msajili wa Vyama vya Siasa ili ofisi hiyo ya msajili iweze kupitia Katiba ya chama husika na kupitia sababu za chama husika zinazoweza kumvua uanachama mwanachama wake na kama kweli zimekiukwa lakini Si lazima Spika akubaliane na uamuzi wa kutengua ubunge wa mbunge husika kwani kama haikuwa halali kwa mbunge huyo kuvuliwa uanachama, Spika hubatilisha uamuzi wake wa kumvua ubunge mhusika,hii imewahi kutokea kwa Zitto Kabwe wakati akifukuzwa na kuvuliwa uanachama wa Chadema,14 Mar 2015 Bunge lilimkingia kifua Mh Zitto Kabwe,Bunge lilisema bado Zitto Kabwe ni Mbunge halali na Spika wa Bunge ana mamlaka kisheria ya kutengua maamuzi ya Chadema,Hata Zitto alipoulizwa alisema kwa upande wake bado ni mbunge na anaendelea na kazi yake ya Uenyekiti wa kamati ya judumu ya hesabu za Serikali (PAC) hadi pale atakapopatiwa taarifa rasmi ya kuvuliwa uanachama na ubunge wake toka kwa Spika.

Waandishi wa habari walipomuuliza Mwanasheria Mkuu wa Chadema wa wakati huo,Bwana Tundu Lissu ambaye alikuwa mmoja wa waliotangaza kuwa chama hicho kimemvua uanachama Zitto Kabwe,Bwana Tundu Lissu alimwambia mwandishi kuwa, jopo la wanasheria wa chama hicho litaifikisha taarifa ya Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama kwa Kamati Kuu ya chama ifikapo mwezi Mei kumbuka wakati Zitto Kabwe anafukuzwa Chadema ilikuwa ni mwezi February,kutokana na utaratibu uliopangwa wa kamati kuu kukutana kila baada ya miezi mitatu, suala la Zitto lilisubiri kikao kingine cha kawaida cha kamati hiyo kilichokuja kujaa mwezi Mei ikiwa kikao kilichopita kilikaa mwezi Februari,kwa maelezo ya Bwana Tundu Lissu ambae alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Chadema wakati huo baada ya miezi mitatu toka February hadi Mei ndipo wataiandikia barua Tume ya Uchaguzi (NEC) kuijulisha kuwa Zitto Kabwe si mwanachama wa chama hicho tena au la.

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala na kiuongozi,nimalizie kwa kuwaambia Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari,sasa tunakwenda kupata Chadema mbili,Chadema ya Wanaume na Chadema ya Wanawake.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Alishindwa Zitto, au Dkt. Slaa kukiua CHADEMA, itakuja kuwa Halima? Unachekeshaaa! Upinzani upo mioyoni mwa watu, na kinachoendelea sasa hivi ni nyumbu fc tu ndio hawaelewi, ila wenye akili zaowanajua mchezo!! Na CCM hawakutegemea kuwa CHADEMA wangechukua hatua hiyo!! CHADEMA wamepita wangapi, lakini kiko imara kila leo!!
 
Kweli kuishi kwingi kuona mengi. Kati ya wote siku wahi kumuwazia Halima kufikia hapo alipofikia, nilikuwa namuweka kwenye kundi la "wanywa bendera" wa chama...bado Lema.
 
MATAGA ilipokuwa Oktoba: "wabunge wa Chadema ni wapinga maendeleo, wasumbufu bungeni afadhali hawapo na bunge litakuwa live"

MATAGA ilipofika November: "Tunawapongeza wabunge wa Chadema kuonesha uzalendo kwenda kuapishwa. Sasa tuchape kazi"

MATAGA/UVCCM ubongo wao ni 'ki WONDER' cha kuchakata upumbavu duniani
 
Wala asijaribu kuanzisha chama kwani hana moral authority tena hasa kwa maswala ya wanawake
 
Hongera sana Mkuu kwa andiko zuri , mwenye masikio amesikia na mwenye macho ameona.Andiko lako limesheeni ukweli mtupu.Asante sana
 
Back
Top Bottom