Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Ama kwa hakika hata RIP Bob Makani akiyaona haya yanayofanywa na aliowaachia Chadema machozi yanamtoka. Chadema Leo imekuwa mtetezi mkuu wa mkoloni mamboleo kweli inasikitisha, hata Acacia wenyewe wanawashangaa kwa kuwa walitegemea kupata utetezi kutoka CCM na so cdm. Ndio kusema Chadema hii mpya yenye mgombea urais kutoka CCM ya zamani imeshindwa kabisa kusoma Alama za nyakati!