Chadema MPs walkout Video and Pics

nashukuru sana kwa video. Sultani alifedheheka sana usoni hlf huyu mama daaaa.. alikuwa anatoa shukrani kwa pande alilomegewa, hlf memory capacity yake ni MB 8 bila makaratasi kama sultani haendi
 
Waangalieni wabunge wa CUF walivyokuwa wanafukuzana kuwahi viti vya Chadema ni utoto na ukosefu wa hekima.

Halafu kile kikohozi cha Kikwete cha kutoa ulimi wote nje ni cha kawaida kweli utadhani mgonjwa wa TB.
 
Muungwana hakutegemea kabisa lile tukio.
Inawezekana washauri wake walimwambia hakutotokea kitu na yeye kama kawaida yake akakubali.
Kumbe loh!!
 
Duh!! ni noma..yaani nimesisimka vikali.
Kama angekuwa ni mtu wa kusoma alama za nyakati angejitoa..
For sure, kama ingelikuwa mimi ningeng'atuka..amedhalilika sana sana. Atambue kuwa taasisi ya uraisi ni kwa ajili ya umma na kamwe si ya mtu binafsi au chama kama anavyowaza yeye hao cronies wenzake.
Time will tell.
 
Waangalieni wabunge wa CUF walivyokuwa wanafukuzana kuwahi viti vya Chadema ni utoto na ukosefu wa hekima.

Halafu kile kikohozi cha Kikwete cha kutoa ulimi wote nje ni cha kawaida kweli utadhani mgonjwa wa TB.

Kumbe ne wewe ulikiona hicho kikoozi. jamaa ulimi chali...
 
CUF walivyokuwa wakihangaika ni kama kuku walikuwa wanataka kutaga duh kweli hivi ni VYAMA TAWALA
 
Waangalieni wabunge wa CUF walivyokuwa wanafukuzana kuwahi viti vya Chadema ni utoto na ukosefu wa hekima.

Halafu kile kikohozi cha Kikwete cha kutoa ulimi wote nje ni cha kawaida kweli utadhani mgonjwa wa TB.

Jamaa anaulimi mrefu sana! lol
 
mfumo wa ccm unaenda kuanguka! tena una mwangukia kikwete mikonono mwake na hili ndio jambo ambalo atakumbukwa nalo ktk historia ya nchi hii
 
MBOWE AMESIMAMA KUWASILISHA HOJA, WABUNGE WOTE WASIO WA CHAMA CHAKE WANATOKA BUNGENI :yuck:

Mdau hebu fikiria tunatengeneza bunge la aina gani?
 
Haina shida.watakuwa na sababu gani? Vikao vyote wabunge wa ccm zaidi ya hamsini hutoroka.utakuwa mwendelezo wa chama chao
 
MBOWE AMESIMAMA KUWASILISHA HOJA, WABUNGE WOTE WASIO WA CHAMA CHAKE WANATOKA BUNGENI :yuck:

Mdau hebu fikiria tunatengeneza bunge la aina gani?
Kuna taratibu za kutoka bungeni. Kwenye mijadala wakitoka nje tuliopoo tunapiga kura na bao letu linapata ushindi bila kutegemea kura za ccm vinginevyo spika atatoa muongozo kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom