KENYA: Mapambano makali yanaendelea kati ya Polisi na Wafuasi wa Odinga kwenye mapokezi yake

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Kiongozi wa chama cha Upinzania nchini Kenya Raila Odinga amerejea leo nchini humo akitokea Marekani. Raila amepokelewa na wafuasi wake wengi kuanzia uwanja wa ndege hadi barabarani.

kenya.jpg

Wafuasi awa NASA wakiwa barabarani kwenye maandamano ya kumpokea Raila Odinga

raila home.jpg

Wafusi wa NASA wakiwa uwanja wa ndege wakimpokea Raila Odinga
========================

Hali si shwari kwenye mapokezi ya Odinga nchini Kenya, angalieni matangazo mubashara ya citizen mabomu na risasi zinarindima

Maandamano ya watu wengi yalikuwa barabara ya Mombasa wakaelekea mpaka barabara ya Likoni inayounganisha barabara ya Mombasa na ile ya Jogoo. Baadae wakaelekea katika soko la Mudhurua.

Baadae wakaingia Jijini Nairobi na kutoka ila juhudi zao za kufika katika bustan ya Uhuru ziligonga mwamba baada ya kudhibitiwa na maafisa wa Polisi wa kutuliza ghasia kwa kuwarushia mabomu ya Machozi

Kumekuwa na taarifa kuwa baadhi wamepigwa risasi na hata gari la Polisi kutiwa moto.

Kwa sasa wanaelekea maeneo ya Kangemi ambapo kutakuwa na mkutano wa hadhara

machafuko 4.jpg


machafuk.jpg


polisi kenya.jpg


kenya.jpg
 
DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Daaah hali ni mbaya mnooo, watu hawaelewi, yaani zikipigwa wanaenda chini zikitulia wanaendelea. Daah Mungu walinde Kenya
 
Hadi sasa kuku na mbuzi wanne wanepigwa risasi hapa ..mambo si shwariii kabisa
 
Kumbe Bora makofuli wetu. Uhuru amekua mpole kupita kawaida. Raila Apigwe Risasi nchi ikae salama kuliko huu upuuzi. Kumbe Bashite anasaida sana huku ee. Japo tunalalamika ila ni bora kuliko hii vurugu. Rais mpole ni Janga kwa Taifa
Usidhani UK ni mpole anajua the hegue kulivyo. Akiamua kufanya maamzi mtashangaa. Raila anashauriwa na Julius Ponda Mali sasa watapona.
 
Back
Top Bottom