Chadema Mpambanisheni NAPE na MNYIKA : Mtakua mmemaliza kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Mpambanisheni NAPE na MNYIKA : Mtakua mmemaliza kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mabadilikosasa, May 16, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu Nape hana shule, hana tofauti na luteni Makamba. Ana maneno mengi ya kudanganya street boys. Mpeni kijana machachari na msomi aliyeelimika Mnyika cheo kama cha NAPE ndani ya CDM, ammaalize mara moja. Kijana Mnyika nampa heshima. Jamaa ana kichwa, na anakubalika na vijana. NAPE anachafua amani ya Tanzania, kwa blah blah nyingi wakati sisi tunataka maendeleo na kupambana na ufisadi hadi kieleweke.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  eti anaongelea mshahara wa Slaa huku mafuta yamepanda bei serikali haina hela! useless kabisa huyu dogo
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wana tofauti moja,
  Mnyika ni mtendaji,
  Nape ni Vuvuzela binafsi la mtu!...anatumika kama peni ofisini!...Simple!
   
 4. O

  Omr JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani kwenye maandamano ya CDM kina fanyika nini? Siasa ya bongo ni bla bla kwa kwenda mbele.
   
 5. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Weka ukereketwa pembeni, sie wanaubungo twaujua usanii wa mnyika, tangu tumempeleka mjengoni dom, yeye ni kuratibu maandamani endelevu tu, VITENDO :dance:
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Hawana akili, wanataka DR. Slaa apate laki saba na nusu, aishi nyumba ya kupanga vyumba viwili, asiwe na security, asiwe na insurance ya matibabu yake na familia, apande bajaji nyumbani hadi kazini kwake - Hapo eti ndiyo apige vita UFISADI - ujinga huo.

  Hata akipata $20,000 bado si ufisadi, ukizingatika hayo hapo juu.
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  we huoni maandamano ya chadema yanavyoimaliza CCM?
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kweli kweli sisiem imeruka mkojo imekanyaga ma**vi
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hata kichaa pia ni mwerevu
   
 10. A

  Analytical Senior Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huwa nachukia sana "WE" concept than "I" concept. Huwezi kusema sie Wanaubungo! Unamwakilisha nani? Mimi mwenyewe natoka Ubungo lakini sikubaliani na unachosema na tunampenda sana Mnyika. Hatujawahi kupata uwakilishi mzuri kama huo for some years now. Nambie. Ngulla, na Keenja walifanya nini ambacho unaweza kumlinganisha na Mnyika. Siku nyingine ukitoa hoja sema "MIMI" yaani nikimaanisha maoni yako. Ebo!
   
 11. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Makamanda naomba tuachane sasa na swala la Nape kwani kazi hiyo natafanya Mh Nanyaro Japhet Diwani kata ya Levolosi Jimbo la Arusha mjini kwani anamjua Nape vizuri na pia atatuanikia uchafu wote wa Nape ili sisi na Watanzania wengine waweze kumfahamu huyu Nape vema,kumbukeni Mh Mnyika J.J hawezi kuwa na muda wa kumshughulikia Nape kwani Jimbo lake ni kubwa sana anakazi kama Rais wa Zanzibar kwa anashughulia kero za watu idadi sawa na Wazanzibari wote.
   
 12. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Uwe mkweli. tangu amechaguliwa ni jambo gani la tija katufanyia wapiga kura???
   
 13. e

  elly1978 Senior Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nimeipenda hii
   
 14. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Ni utovu wa huruma kumpanga nape na mnyika.
  Kuna dogo mmoja yupo darasa la pili hapa mtaani kwetu ana akili sana anaweza kupambanishwa na nape.
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Originally Posted by Giddy Mangi [​IMG]
  Makamanda naomba tuachane sasa na swala la Nape kwani kazi hiyo natafanya Mh Nanyaro Japhet Diwani kata ya Levolosi Jimbo la Arusha mjini kwani anamjua Nape vizuri na pia atatuanikia uchafu wote wa Nape ili sisi na Watanzania wengine waweze kumfahamu huyu Nape vema,kumbukeni Mh Mnyika J.J hawezi kuwa na muda wa kumshughulikia Nape kwani Jimbo lake ni kubwa sana anakazi kama Rais wa Zanzibar kwa anashughulia kero za watu idadi sawa na Wazanzibari wote.
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nape ni kilaza hvo mwaceni asije akahaibika
   
 17. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naunga Mkono HojA
   
 18. baha

  baha Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni ngumu sana wengi kujua kinachofanywa na Chadema maana hata wao wenyewe wanaweza kukupa majibu tofauti wakihojiwa mmojammoja! Kitaalamu tunaita kitu hiki "causal ambiguity". Lakini nikuibie siri hiyo ambayo si wengi wanaijua.....it's political marketing.
   
Loading...