CHADEMA Morogoro wateka mazishi ya Mangwer jana...

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,295
157
Maelfu ya Wananchi wa Morogoro waliojitokeza kumzika msanii Albert Mangwer jana walijikuta wakishindwa kujizuia kuonesha mapenzi yao kwa CHADEMA kwa kulipuka kwa shangwe pale gari ya viongozi hao ilipoingia uwanja wa Jamhuri ikiwa inapeperusha bendera ya chama hicho. Maelfu hayo yalilipuka na kuonyesha alama ya V ya vidole inayotumiwa na chama hicho kikuu cha upinzani chenye viongoz mahiri katika ujenzi wa hoja. Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera alibaki mdomo wazi kwa tukio hilo. Nawasilisha.
cc Ritz Chama Sumu MAFILILI
 
Kazi ndo imeanza kaka, M4C kila kona!!!!!!!!!!! tumeonewa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyanyaswe na kupuuzwa................(Mwl. J.K. Nyerere), Nia ya mabadiliko tunayo, sababu ya mabadiliko tunayo uwezo wa wa mabadiliko tunao. PEEEPOOOOOOOOOZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
Tafakari
 
Niliipenda hotuba ya Mhe: Joseph Mbilinyi aka SUGU, aliichana CCM kwamba wanachangia vifo vya kimasikini vya wasanii kwa kutokuwa na sera ya ulinzi wa kazi zao.
 
Kazi ndo imeanza kaka, M4C kila kona!!!!!!!!!!! tumeonewa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyanyaswe na kupuuzwa................(Mwl. J.K. Nyerere), Nia ya mabadiliko tunayo, sababu ya mabadiliko tunayo uwezo wa wa mabadiliko tunao. PEEEPOOOOOOOOOZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
Tafakari

mkuu chadema ndo hewa tunayovuta. taka usitake.
 
Kazi ndo imeanza kaka, M4C kila kona!!!!!!!!!!! tumeonewa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyanyaswe na kupuuzwa................(Mwl. J.K. Nyerere), Nia ya mabadiliko tunayo, sababu ya mabadiliko tunayo uwezo wa wa mabadiliko tunao. PEEEPOOOOOOOOOZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
Tafakari

Kwi kwi kwi kwi, hadi njaa imekata. Ila naomba ubadili ranga japo kati za zile 4
 
Chadema ni kama maji,usipoyanywa utayaoga!!!hakuna kulala mpaka tuhakikishe mkoloni mweusi ameng'oka!!!
 
Kumekucha kama M4C inagusa kuliko hisia za msiba.

Watu wa Morogoro wana hasira na maccm maana ndo yanaonekana kudeal na biznec ya sembe inayosababisha utaahira na vifo vya kizembe. Watz Wengine wawili wamekamatwa Misri, sijui watapigwa kitanzi?
 
Acheni mambo yenu ya kutukana ovyoo, sio siasa hiyo. Afu mnajiita Great Thinkers.
 
Back
Top Bottom