CHADEMA Monduli yafunika

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano wa chadema ulikuwa na watu wengi sana ukiwa chini ya kamanda Kombe, Doita na Maganga(Mgombea)

Lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi.
 
This is good news for everyone who loves this country!! Hizo ni salamu tosha kuwa TUMECHOSHWA NA MFUMO WANAOTUMIA CCM NA SERA ZAO.
 
This is good news for everyone who loves this country!! Hizo ni salamu tosha kuwa TUMECHOSHWA NA MFUMO WANAOTUMIA CCM NA SERA ZAO.
hakika kama mwendo wa CHADEMA utaendelea tukazidi kuungana zaidi nchi hii siku si nyingi itakuwa chini ya CHADEMA.....
 
tusubiri matokeo. hapo ndipo ngome ya ccm. Tunalisubiri na jimbo pia pindi tushindapo igunga. inshahallah
 
Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano wa chadema ulikuwa na watu wengi sana ukiwa chini ya kamanda Kombe, Doita na Maganga(Mgombea)...lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho....Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi...

Mkuu bila picha hii stori yako nitaendelea kuamini kuwa ni porojo tu
 
nina rafiki yangu ni mwanajeshi monduli akaniambia ameshangaa watu wa monduli walivyobadilika wanaishabikia cdm live
 
Bila shaka Ukombozi ni Sasa na kama si sasa ni Sasa hivi kwani 2meonja joto vya kutosha. Ni hbr njema kwa Watanzania wanaodanganywa na mapapa kwa miaka 50 ya Uhuru. Mi kheri Mwl angefufuka!
 
Naona habari kama hizi zinazidi kumpa Nape wakati mgumu. Kazi inazidi kuwa nzito.
 
Wambie kabisa sina picha maana sasa hivi watakudai, pamoja na hilo kesho Tanzania inaweza kuzizima kwa furaha endapo Igunga na Monduli ambapoa kuna uchaguzi wa udiwani kitaeleweka.
 
nina rafiki yangu ni mwanajeshi monduli akaniambia ameshangaa watu wa monduli walivyobadilika wanaishabikia cdm live

kweli ukombozi umekaribia kama watu wa Monduli kwa baba richmond wameuona mwanga bado rejeo,mwita,ff maana ha ms kashauona...
 
Back
Top Bottom