Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano wa chadema ulikuwa na watu wengi sana ukiwa chini ya kamanda Kombe, Doita na Maganga(Mgombea)
Lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi.
Lakini katika hali ya kushangaza kabisa wamejitapa watatangazwa washindi kesho, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania, Mungu wazoofishe mafisadi.