Pro Magufuli Wa 47
Senior Member
- Mar 5, 2016
- 188
- 58
Nashangaa CHADEMA wao wakiwa na Lowassa, Sumaye, Mbowe, Rostam, wafanya biashara wakwepa kodi, mabaki ya viongozi serikalini mafisadi na wengine wengi kisiitwe genge la Mafisadi.
Wanamtetea EL sio fisadi kwa kigezo kuwa hajapelekwa mahakamani.
Sasa wanapata wapi nguvu ya kumuita Muongo, Mkapa, Chenge, JK kuwa Mafisadi?
Wakati hao pia hawajapelekwa wala kupata hukumu mahakamani.
Je CHADEMA ni mahakama ya kusafisha kutoa hukumu ya haki kwa Mafisadi?
Kina EL na genge lake wametajwa kama Mafisadi kwa miaka zaidi ya 7 na CHADEMA, lakini wakatumia wiki mbili kuwasafisha.
Vigezo mnavyotumia nyinyi kuwaita JK, Chenge, Muongo, Mkapa, Nyarandu Mafisadi ndivyo tunavyotumia Sisi kuwaita kina Lowassa, Mbowe na Sumaye Mafisadi hata kama hawajapelekwa mahakamani.
Serikali ya CCM tuna ahufweni na karibu na uponyaji kwa sasa tumempata Dr mchukia Rushwa na mchapa kazi.
CHADEMA mnazidi kujimaliza kwa kukumbatia Mafisadi, Wabinafsi, Ma-Opportunist (kina Msigwa wasiojijua wanasimamia nini), wafanya biashara ndani ya Chama, na sasa mmeongeza Waasi na Wagomaji (Mwanza).
WAHENGA WALISEMA "NYANI HAONI KUNDULE"