CHADEMA mnatuchanganya. Tunataka Katiba inayosimamia haki na sio Katiba Mpya. Kamwe Katiba hiyo haiwezi kutengenezwa na Wanasiasa

JPM alikua anawapeleka kwenye total extinction...kingebaki kama chama kilichosajiliwa tu basi kama kilivyo JAHAZI ASILIA ... Chadema ni Chama cha wahuni na ni kama kikundi cha kigaidi wao ni waumini wa vurugu , matusi , hawana hoja zinazoeleweka wanazidiwa hadi na ACT WAZALENDO ...
Hii sio hoja ya ubishani wa kichama Bali fikra fikirishi kufikia Katiba nzuri na sio siasa
 
Kuna jamaa mmoja nilimwambia humu,

Ukishirikisha wanasiasa kwenye bunge la katiba utakosa hoja ya kuipinga katiba iliyopo,

maana itatengenezwa katiba inayowabeba walio wengi bungeni, hivyo hakuna kitakachobadilishwa

Maana hawatataka katiba mpya iwapole madaraka,

Katiba mpya itengenezwe na makundi ya wanazuoni, na watu mbali mbali kwenye jamii, tofauti na hawa wapiga kelele(wanasiasa)
 
Back
Top Bottom