Chadema mnasubiri nini?

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Kama CHADEMA mmeanza hivi sasa hivi tu je mtaweza mkipewa nchi?
Tunataka maandamano ya nchi nzima kumtaka Ngeleja ajiuluzulu! Tumechoka kabisaaaaaaaaaaaaaa na mgao na huu sio mgao ni wizi tuuuuuuuuuuuuu! Tunataka tuandamane kwa nguvu zote! Kumbukeni maandamano yenu huwa yanatekelezwa haraka iwezekanavyo
Nawapenda
 
Wakupendwa, hujambo?,upo wapi?, vipi, umeshaenda kuanza mchakato wa kugombea ubunge jimbo la Rostam?
 
Kama CHADEMA mmeanza hivi sasa hivi tu je mtaweza mkipewa nchi?Tunataka maandamano ya nchi nzima kumtaka Ngeleja( ajiuluzulu!) Tumechoka kabisaaaaaaaaaaaaaa na mgao na huu sio mgao ni wizi tuuuuuuuuuuuuu! Tunataka tuandamane kwa nguvu zote! Kumbukeni maandamano yenu huwa yanatekelezwa haraka iwezekanavyoNawapenda
Ajiuluzulu, nadhani hapa umetumia lugha ya Kizulu
 
Back
Top Bottom