CHADEMA Mnaogopa nini kuweka Hotuba ya Wenje kwenye Mtandao wenu?

Ungekuwa sio mvivu wa kushughulisha bongo lako, ungefahamu kabisa kwamba hiyo hotuba ya waziri kivuli wa mambo ya nchi za nje inapatikana kwenye hansard za bunge la JMT.
 
Mkuu, Wenje kawaaibisha sana UKAWA. Mpaka wanaona aibu kuiweka mtandaoni
Nakuona unahangaika sana sijui kama itakufikisha wapi wapi. Usimlaumu Wenje wala upinzani mlaumu aliyeanzisha hili sakata. Kuwekwa au kutowekwa mtandaoni sio hoja ya msingi, mangapi yaliyo ya msingi hujahoji kama kufungwa kwa tovuti ya tume ya mabadiliko ya Katiba.
 
Kwa akili yako nani kaanzisha hili sakata?
 
..mimi naipenda CDM lakini nimekerwa sana na hii hotuba ya Wenje.

..I am very sorry to say this, but IMHO Mh.Wenje ameiaibisha kambi ya upinzani.

..inakera kwasababu naamini ndani ya CDM kuna watu wenye uelewa kuhusu siasa za kimataifa and particularly mgogoro wa DRC, lakini kwa quality ya hotuba ile nina uhakika watu hao hawakushirikishwa ktk kuiandaa hotuba ile.

..ninaamini wangeshirikishwa Prof.Mwesiga Baregu, na Prof.Abdalah Safari, kambi ya upinzani isingetoa hotuba mbovu kama hii aliyotoa Wenje.

cc Lizaboni, Jasusi, Nguruvi3, Ben Saanane, Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:

hivyo vichwa hapo chini ndivyo vilivyokuwa vinanivutia chadema ila siku hizi usishangae kusikia wanaitwa "waasi", badala yake Chadema leo inaongozwa na dizaini za kina lema mzee wa "negativ sinker"
 
Back
Top Bottom