Chadema mnaamini katika nini!?

mbegubora29

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
482
294
CHADEMA hakuna Uhuru usio na mipaka, pia huwa najiuliza na kama hamtojali mnijibu IPI Imani katika mfumo wa uongozi Kwani binafsi naamini demokrasia ni mawazo meengi na Uhuru lakini nyie mnamuona Mbowe kama ndio kila kitu Ila madhara yake Ni mfumo wa serikali ya mtu mmoja na chama kimoja maana hamtaki mawazo mbadala au kupingwa kwa lile mnaloamini!

Ebu fikiria mbowe angekuwa ndo Rais halafu wanaomlamba km lissu au lema na weengi miongoni wenye mapenz ya kizandiki na uchu wa madaraka wangekuwa viongoz wa namna gani eeeh?

Siasa ni Imani hivyo lile tunalokuona nalo tunaamini ndo Imani yenu pindi mtakapochukua nchi Tena mnaweza mkawa wabaya kuliko hata VYAMA TAWALA VYA SASA, KUBWA LINDENI AMANI MAANA INA GHARAMA NDO MAANA MMEENDA KUITAFTA HUKOOO UGHAIBUNI.
 
Kiujumla CCM ukiwa mpole ndo unapandwa kichwani. Kudai katiba mpya na time huru lazima utumie style ya uanaharakati baadae ndo ueleze sera la sivyo aki na James watakufanya zuzu
 

Attachments

  • VID-20211217-WA0009.mp4
    1 MB
Kiujumla CCM ukiwa mpole ndo unapandwa kichwani. Kudai katiba mpya na time huru lazima utumie style ya uanaharakati baadae ndo ueleze sera la sivyo aki na James watakufanya zuzu
Bhas hauta ipata Kwan hakuna aliye tyr hlf katiba sio Mali yako ujue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom