CHADEMA mmepotea sana kwa hilii na kamwe CCM will rule for life | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mmepotea sana kwa hilii na kamwe CCM will rule for life

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Handsome, Jul 6, 2011.

 1. H

  Handsome Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeshangazwa sana na chama cha demokrasia na maendeleo chadema kwa upuuzi kinaoendelea nao huko Arusha je wanataka watu wafe ili wapate umaarufu au ndio upuuzi gani??mmekwisha ccm wamekwisha wazidi kete,hamna jipya.
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huo ni mtazamo wako!!! Na wengine wanaona vinginenvyo...
   
 3. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Jaribu kuipa nyama hii hadithi yako ili ieleweke, ni upuuzi gani wanaofanya CDM huko arusha?
   
 4. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Na siku zote wengine ndiyo wanaoona na siyo mhusika
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Thread zingine bana bora zipotezewe juu kwa juu....
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mkuu peleka hii thread kwenye mashina ya wakereketwa usituletee great thinkers
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hili si jukwaa la masharobaro, rudi kwenye MMU. Umekosea njia
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mkuu nadhan ya Arusha yawe mafundisho kwa watanzania coz ccm wanazingua sana, wamezoea kufanya mambo ya upuuzi!
   
 9. L

  Lixy New Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhan kma umetafta ukwel kabla hujatupia mawazo yako, nenda katafte ukwel ndo urd tna
   
 10. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mada kama izi mnazitoa mana hazina tija kwa taira
   
 11. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hivi mods ni lazima kila mtu apost thread humu? thread kama hizi za kishabiki na ambazo hazieleweki kwanini mnaziruhusu. this is not FB this is home of great thinkers. naona post kama hii muiondoe kwanza issue hizi zishaongelewa sana kwenye previous threads
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Sema ueleweke, hapa siyo mahala pa ushabiki ati.
   
 13. T

  Triple DDD Senior Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CDM wako sahihi cos kesi iliyoko mahakamani itawahukumu kwa kuwa walikuwa wanataka vyeo na sio utaratibu
  kufuatwa. Pia PM alishakubali kuwa wamalizane ili asijibu hoja ya Lema Bungeni. So CDMwako sahihi madiwani
  ukata na walirubuniwa na CCM.
   
 14. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  haupo makini aliyesababisha yote haya ni CCM na tamaa za madaraka. Alafu huo ni mtazamo wako wewe lakini wengine tunaona cdm ndo chama makini. Anayeua watu ni CCM maana wao ndo wanatumia askari kuzima nguvu ya uma. Kwa taarifa yako wewe ndo utakuwa ruled by ccm forever and not CHADEM, soma alama za nyakati usiwe na ushabiki wa kimagamba
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  akili unayo lakini naona umeiweka kabatini.
  pole siku utakapotaka kuitumia utakuta imechacha.
   
 16. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sina uhakika kama kweli unaweza kuwa ni handsome.
   
 17. m

  mndeme JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  leta hoja sio vioja
   
 18. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #18
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Angalie asije na huo ufunguo wa kabati ukapotea
   
 19. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huo upuuzi wanaoufanya chadema ameuanzisha nani?ccm ndio wapuuzi kwani ndio walio haribu uchaguzi au unakichwa cha panzi nduguyangu unasahau chanzo cha mgogoro wa arusha?usikurupuke ndugu jipange ndipo uje tena.
   
 20. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kwani walikuwa wanapigania madaraka, acha kuwa mvivu wa kufikiri...
   
Loading...