Hivi ninyi wapinzani mnaakili sawa sawa?
Kila kitu ni kupinga tu, nimefika Kongwa mbunge wenu anaonekana anazurura hovyo tu wala hawatetei wananchi wake.
Kama mmeshindwa achieni ngazi kwa vyama vingine maana umaskini uliopo Kongwa ni mkubwa na unatisha yaani utahisi hakuna kiongozi sijui mkoje CHADEMA.
Yule mbunge wa Kongwa wa CHADEMA anaonekana bungeni kaenda kuchekacheka tu na sio kuwasemea wananchi wake.
Maji hakuna, Barabara mbovu, miundomsingi kama shule na hospital nazo hazieleweki na umaskini kwa wananchi umekithiri mno.
Wapisheni CCM waongoze muone maendeleo yatavokua ndani ya muda mfupi.