CHADEMA mmepewa Jimbo la Kongwa, jimbo lina umaskini wa kutisha, pisheni mawazo mbadala

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,945
28,401
Hivi ninyi wapinzani mnaakili sawa sawa?

Kila kitu ni kupinga tu, nimefika Kongwa mbunge wenu anaonekana anazurura hovyo tu wala hawatetei wananchi wake.

Kama mmeshindwa achieni ngazi kwa vyama vingine maana umaskini uliopo Kongwa ni mkubwa na unatisha yaani utahisi hakuna kiongozi sijui mkoje CHADEMA.

Yule mbunge wa Kongwa wa CHADEMA anaonekana bungeni kaenda kuchekacheka tu na sio kuwasemea wananchi wake.

Maji hakuna, Barabara mbovu, miundomsingi kama shule na hospital nazo hazieleweki na umaskini kwa wananchi umekithiri mno.

Wapisheni CCM waongoze muone maendeleo yatavokua ndani ya muda mfupi.
 
Mkuu punguza hasira!

Zahanati tumejenga pale kwenye kona kabisa tena kubwa tu

Kuhusu maji, tumejenga matenki pale kwenye kile kilima baada ya kuvuka Zahanati!

Kwa sasa tuko kwenye mpango mkakati kuhakikisha vijiji kama mautya mpaka msingisa tunawaboreshea huduma pia!!

Basi kwa machache hayo labda niseme tu kwamba wananchi waendelee kutupa ushirikiano..
 
Kama mmeshindwa achieni ngazi kwa vyama vingine maana umaskini uliopo Kongwa ni mkubwa na unatisha yaani utahisi hakuna kiongozi sijui mkoje chadema.
Yule mbunge wa Kongwa wa Chadema anaonekana bungeni kaenda kuchekacheka tu na sio kuwasemea wananchi wake.

Wapinzani wametuchelewesha sana, viva Ndugai
 
Chadema hawafai jimbo la kongwa wao wanaliongoza lakini hatuoni maendeleo miaka yote wapishe vyama vingine au wawapatie ccm waone maendeleo kama hayaji haraka
 
Mkuu punguza hasira!

Zahanati tumejenga pale kwenye kona kabisa tena kubwa tu

Kuhusu maji, tumejenga matenki pale kwenye kile kilima baada ya kuvuka Zahanati!

Kwa sasa tuko kwenye mpango mkakati kuhakikisha vijiji kama mautya mpaka msingisa tunawaboreshea huduma pia!!

Basi kwa machache hayo labda niseme tu kwamba wananchi waendelee kutupa ushirikiano..

Pamb@f kabisa!!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app

Ndio Maana serikali haileti marndeleo kwa sababu mlichagua wapinzani pisheni wenye serikali waongoze sio kuleta vurugu na kupinga kila kitu
 
Hivi ninyi wapinzani mnaakili sawa sawa?
Kila kitu ni kupinga tu, nimefika Kongwa mbunge wenu anaonekana anazurura hovyo tu wala hawatetei wananchi wake.
Kama mmeshindwa achieni ngazi kwa vyama vingine maana umaskini uliopo Kongwa ni mkubwa na unatisha yaani utahisi hakuna kiongozi sijui mkoje chadema.
Yule mbunge wa Kongwa wa Chadema anaonekana bungeni kaenda kuchekacheka tu na sio kuwasemea wananchi wake.
Maji hakuna, Barabara mbovu, miundomsingi kama shule na hospital nazo hazieleweki na umaskini kwa wananchi umekithiri mno.
Wapisheni CCM waongoze muone maendeleo yatavokua ndani ya muda mfupi.
Kile kipimbi cha chadema kinachowakilisha Jimbo la kongwa kina matatizo kwenye fuvu la kichwa, kina matatizo kwenye damu, kina matatizo ya dushee inasemekana limelala tu halifanyi kazi, hebu kiacheni kisije kufa kwa stress maana bado kipo kwenye maombolezo ya mumewe bwana jiwe
 
Hivi ninyi wapinzani mnaakili sawa sawa?
Kila kitu ni kupinga tu, nimefika Kongwa mbunge wenu anaonekana anazurura hovyo tu wala hawatetei wananchi wake.
Kama mmeshindwa achieni ngazi kwa vyama vingine maana umaskini uliopo Kongwa ni mkubwa na unatisha yaani utahisi hakuna kiongozi sijui mkoje chadema.
Yule mbunge wa Kongwa wa Chadema anaonekana bungeni kaenda kuchekacheka tu na sio kuwasemea wananchi wake.
Maji hakuna, Barabara mbovu, miundomsingi kama shule na hospital nazo hazieleweki na umaskini kwa wananchi umekithiri mno.
Wapisheni CCM waongoze muone maendeleo yatavokua ndani ya muda mfupi.
Hapo nakupinga kwa points:
Wabunge gani walioshida ubunge awamu hii?

wapi uliona nchi yenye wabunge bungeni wasokuwa wana chama wa chama chochote?
Selikari ya marehemu ilisema haiwezi kupeleka maendeleo maeneo ya wapinzani sasa lini kwanza mbunge aliwahi kutoa pesa mfukoni kusaidia jimbo?
 
Hivi ninyi wapinzani mnaakili sawa sawa?
Kila kitu ni kupinga tu, nimefika Kongwa mbunge wenu anaonekana anazurura hovyo tu wala hawatetei wananchi wake.
Kama mmeshindwa achieni ngazi kwa vyama vingine maana umaskini uliopo Kongwa ni mkubwa na unatisha yaani utahisi hakuna kiongozi sijui mkoje chadema.
Yule mbunge wa Kongwa wa Chadema anaonekana bungeni kaenda kuchekacheka tu na sio kuwasemea wananchi wake.
Maji hakuna, Barabara mbovu, miundomsingi kama shule na hospital nazo hazieleweki na umaskini kwa wananchi umekithiri mno.
Wapisheni CCM waongoze muone maendeleo yatavokua ndani ya muda mfupi.
Wewe wagogo unawajua wewe wagogo na umaskini ni kama mgongwa na uji
 
Hivi ninyi wapinzani mnaakili sawa sawa?

Kila kitu ni kupinga tu, nimefika Kongwa mbunge wenu anaonekana anazurura hovyo tu wala hawatetei wananchi wake.

Kama mmeshindwa achieni ngazi kwa vyama vingine maana umaskini uliopo Kongwa ni mkubwa na unatisha yaani utahisi hakuna kiongozi sijui mkoje CHADEMA.

Yule mbunge wa Kongwa wa CHADEMA anaonekana bungeni kaenda kuchekacheka tu na sio kuwasemea wananchi wake.

Maji hakuna, Barabara mbovu, miundomsingi kama shule na hospital nazo hazieleweki na umaskini kwa wananchi umekithiri mno.

Wapisheni CCM waongoze muone maendeleo yatavokua ndani ya muda mfupi.
Mmh kwani mwaka huu CHADEMA ina wabunge bungeni!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom